Hivi kwa nini unayempenda....?

Hivi kwa nini unayempenda hakupendi? na usiyempenda ndio akuganda ganda ka gundi?
hahahaaaaa,
murembo (sore kama wewe ni HE),
umenikumbusha wimbo wa nilizama pale Joniko Flawa anakwambia
......."nashindwa kusema nikisema labda sitaelewekaa.
mapenzi jamani yamejaa visa ndugu yangu Ooh, unayemupenda huenda asikupende,
usiyemupenda akugandaganda kama gundi, kukuacha nimeshindwa, kuendelea pia visa kibaooo, Ooh naumiaaaaaaa......"
si n'chezo!, mpige chini tu kama anakuzingua.
 
Hivi kwa nini unayempenda hakupendi? na usiyempenda ndio akuganda ganda ka gundi?

Pole kwa matatizo yaliyokukumba dada (Sore kama wewe ni HE) Vumilia tu. Ukishindwa, ni-PM. Huwezi jua mipango ya Mungu.
 
Pole kwa matatizo yaliyokukumba dada (Sore kama wewe ni HE) Vumilia tu. Ukishindwa, ni-PM. Huwezi jua mipango ya Mungu.
weee aku PMili? ZD leo kabaki home eeeh ndo mana unaomba na ma PM ya ma-SHE freeely
 
weee aku PMili? ZD leo kabaki home eeeh ndo mana unaomba na ma PM ya ma-SHE freeely

Dah! Unakaba mpaka penalti? Au ndio utakuwa matron kwenye shughuli yetu? Usisahau bestman atakuwa mpwa fidel. hahahaha!
 
baby love subira yavuta kheri, utapata mtakayependana....
 
Musinitajie huyu mtu jamani ana sifa sana na English ya kizamani,
jamani mimi ni she

Thats my girl. Haya niambie bado una mahaba ya kuniona kabla hujafa au tayari mambo yameshaharibika? tehetehe!
 
baby love subira yavuta kheri, utapata mtakayependana....
lakini wakati mwingine anaweza kusubiri kumpata anaempenda mpaka akazeeka na asimpate, bora tu kuwa na huyo anayekuganda.
 
Hahaha! Kwa hiyo kwa fidel ntakupata? No worry, after all, ameshastaafu kujiexpress. Si unakumbuka?

kwani si tunaweza kuwa pamoja tu kwenye shuhuli yenu kama matron na patron afu basi
 
mpende akupendaye asiyekupenda achana nae hata methari zi zamani zilitambua hilo
 
Pole kwa matatizo yaliyokukumba dada (Sore kama wewe ni HE) Vumilia tu. Ukishindwa, ni-PM. Huwezi jua mipango ya Mungu.
taratibu mpwa, wewe ZD si yupo?

weee aku PMili? ZD leo kabaki home eeeh ndo mana unaomba na ma PM ya ma-SHE freeely
nashukuru shemeji kwa kuliona hili mapema
baby love subira yavuta kheri, utapata mtakayependana....
hahahaaaa, teh teeeh don worey, ameshaona jamani vipi, MILUZI MINGI jamni punguzeni.
 
lakini wakati mwingine anaweza kusubiri kumpata anaempenda mpaka akazeeka na asimpate, bora tu kuwa na huyo anayekuganda.

if she can learn to love the one who is gandaring her like gundi may be....wengine moyo ukisema no mara ya kwanza basiii there is no turning back!!!
 
Back
Top Bottom