Mwanamke ni binadamu wa pili kuundwa na Mungu kutokana na ubavu wa Adamu.
Mwanamke ni yule ambae huijua thamani yake angali bado mdogo aidha kwa kufundishwa na wazazi wake au kwa utashi wake...
1. Vipwente - hawa ni aina ya wapenzi ambao yeye anaweza akakumiss hadi anahisi network zinakatika lakini hakutafuti ng'ooo iwe ni kwa message au laivulaivu, kwasababu hataki kuonekana wakwanza...
Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyezi Mungu, pia shukrani kwa mama kwa jina king'asti. Nakushukuru mama kwa wema ulionitendea. Kamwe katika maisha yangu sitakusahau. Haunijui wala haunitambui...
Nipo kwenye distance luv kwa miaka 3 nw na tuna mawasiliano mazuri tu na tuna kawaida ya kuongea na simu Sana usiku ila siku hz sikuelewi juzi nimempigia simu usiku kucha hupokei akaja kunitafuta...
Alikutana na msichana wakatongozana wakapendana , wakawa wanawasiliana siku moja jamaa akataka kujua background ya msichana huyo, kwahiyo huyo msichana alimsimulia jamaa maisha yake kama...
Habari zenu wakuu?
Hivi unamchukuliaje mwanamke unaemtongoza na kumhitaji kujenga uhusiano nae lakini yeye anakuambia anapenda muwe marafiki tu au ukaka na udada.
Nasikiliza Clouds FM now, bwana harusi kwa jina Kaizary asema kuhusu hizo picha ni uongo na ni photoshop na yule mwanamke wa kwenye zile picha si mke wake bi Susan.
Kesi iko police na wahusika...
E bwana e, enzi zetu maisha yalikuwa matamu sana, mwanaume una fimbo, mkuki wako, upinde na mishale, huku unatembea kifua mbele dushe nje nje, wanawake wakikuona heshima juu. Uanaume ilikuwa enzi...
Ni mdada mrembo hasa, Aina ya maisha anayoishi na jinsi alivyo na mahusiano mazuri na watu wanamzunguka inanivutia sana.
She's called Clara, Pretty, Intelligent, Brilliant and Very Beautiful...
Habari zenyu bana,
Watu wengine wanashangaza sana, unakuta limtu limehangaika Kwa
muda mrefu kuijenga nyumba yake kwa hali na mali,mwisho wa siku linakuja kukubali ibomoke kirahisi rahisi tu...
Zaidi ya wanawake waislamu 10,000 wameomba watafutiwe waume watakaowaoa.Wanawake hao wameomba shirika moja la kiislamu Hizba linahudumu katika eneo la Kano lililoko kaskazini mwa Nigeria...
Ambonyi...
Ninajua mmeumbiwa kusahau, na mmeumbiwa kufikiria baada ya kutenda. Ila nimeona tu niwakumbushe kanuni chache za kuwaepusha na MAGUMU ya ndoa.
Kabla hujafikiria Kufanya ujinga wowote...
Ayubu Mnazi Alphonce(24) ni kijana ambaye amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete akipatiwa matibabu baada ya kuamua kuukata uume wake kwa kutumia wembe mpya ili...
MAANA YA IDADI YA MAUWA YA WARIDI.
1. Ukipewa ua la waridi moja inamaanisha upendo kwa mara ya kwanza.
2. Ukipewa Mawaridi Mawili yanamaanisha tayari mko kwenye uhusiano wa kimapenzi.
3. Yakiwa...
Habari ndugu zangu,
Mimi ni mwanaume nipo kwenye ndoa kwa mwaka wa pili now but mke wangu tumekuwa kwenye uchumba sugu kwa miaka kama minne. Tatizo mke wangu ana ndugu yake wa kiume undugu wa...
Najua wapo, ila ninachotaka kufahamu ni wasichana kiasi gani ambao wamekuwa kwenye mahusiano ila hawajawahi kuhisi kukosa siku zao?
Wakaka embu kujeni? Ni nani kati yenu ambaye hajawahi kuambiwa...
Hapa mtaani kuna demu kahamia,ni mzuri,na ana shape na rangi nzuri sana.nimemtongoza na kanikubalia.sasa nashangaa naomba papuchi ananigomea na hata muda wa faragha nae sipati.ananiambia eti...