Hivi kuna msichana above 25 ambaye hajawahi kutoona cku zake?

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,638
2,723
Najua wapo, ila ninachotaka kufahamu ni wasichana kiasi gani ambao wamekuwa kwenye mahusiano ila hawajawahi kuhisi kukosa siku zao?
Wakaka embu kujeni? Ni nani kati yenu ambaye hajawahi kuambiwa na msichana kuwa haoni siku zake (i.e anajihisi kanasa mimba)?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom