Wewe mwanamke uliyeolewa usisahau ulipotoka

Wewe mwanamke uliyeolewa usisahau ulipotoka

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
2,026
Reaction score
3,113
Ambonyi...

Ninajua mmeumbiwa kusahau, na mmeumbiwa kufikiria baada ya kutenda. Ila nimeona tu niwakumbushe kanuni chache za kuwaepusha na MAGUMU ya ndoa.

Kabla hujafikiria Kufanya ujinga wowote utakaomuumiza mwenzako kwa namna yeyote ile kumbuka risk aliyoichukua mwenzako kukuoa wewe na kuwaacha wanawake wengine wote, pamoja na makandokando yako ya kitabia.

Kumbuka ulivyokuwa unamsumbua Mungu na masala yako, machozi usiku kucha, sakada mpaka nauli unatoa, kushinda njaa ulizoea, eti umefunga ili Mungu akupe mume.

Kisa ulichoka kucheza kwaito kwa wenzako.
  • Ulisugua goti mpaka ukaota sugu
  • Ulivaa vitenge mpaka ukamaliza mishono
  • Ulikuwa na namba ya kila mtumishi anayefanya maombi mpaka matapeli uliwafuata
  • Wengine kila mganga ulimjua, ulivaa hirizi kila kona ya mwili
  • Mama yako alikonda kwa kukuombea ili umtoe aibu ya kutoolewa.
Leo umeingia kwenye ndoa unaona kama ulikuwa unastahili hiyo ndoa bila hata hayo yote uliyopitia. Umesahau yote, mabega yamekupanda, umesahau kuhusu mateso uliyopitia kupata hiyo ndoa, umesahau mateso ya mama yako. Unaanza kuwaza kufanya ujinga wako.
 
Mangi umevurugwa(kitalia),haya mambo yanahitaji akili ya kisanii ili uweze kufarahia maisha ya ndoa.
N.B.
Usiowe mwanamke unayempenda...OA mwanamke anayekupenda........
 
mh nyiki mmeku? sasa amekuudh hujashusha hata mori ukaja kuandka kwa hacra hiv...pole bwana ndo mana unapewa chet kabla ya maisha ya ndoa kuna mapito sana.
 
Back
Top Bottom