Hataki kunipa penzi eti hadi nimuoe

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,449
Hapa mtaani kuna demu kahamia,ni mzuri,na ana shape na rangi nzuri sana.nimemtongoza na kanikubalia.sasa nashangaa naomba papuchi ananigomea na hata muda wa faragha nae sipati.ananiambia eti atatoa penzi hadi nikimuoa kwa kuwa yeye ni bikra.maswali ninayojiuliza ni je nikimua harafu nisiipate bikra itakuwaje?
NB:nimeshindwa kuwa na mpenzi hewa,ajabu nikimpotezea lazima anitafute na kulialia sana
 
Bikra utaipata tuu maana hata dukani zipo mvumilie umuoe maana mapenzi ni uvumilivu. Lakini kama unampenda kweli
 
Lazima ameshasimuliwa habari zako, ameshaambiwa ulivyo mchafuzi wa mazingira. Na wanao kina Maureen, Travis na Sean keshaonyeshwa namna ulivyowazalisha mama zao na kuwapiga chini.
Na bado unaitwa baba kijacho kwa mdogoake mama Maureen...
Na huyo unataka kumfanya single mother
Keshakushtukia...
Umekuwa kiwanda cha kuzalisha ma single mother...

Bora tu akatae...
 
Asee ndo maana wanasema wanaume wote ni sawaa sababu ya hilo , kuomba mzigo ukishatongoza tuu eti nna bikra ukinioa ndo ntakupa ,, we vumilia si umependa
 
Hapa mtaani kuna demu kahamia,ni mzuri,na ana shape na rangi nzuri sana.nimemtongoza na kanikubalia.sasa nashangaa naomba papuchi ananigomea na hata muda wa faragha nae sipati.ananiambia eti atatoa penzi hadi nikimuoa kwa kuwa yeye ni bikra.maswali ninayojiuliza ni je nikimua harafu nisiipate bikra itakuwaje?
NB:nimeshindwa kuwa na mpenzi hewa,ajabu nikimpotezea lazima anitafute na kulialia sana

Kwani ukimuoa na usipoikuta bikira papuchi inaondoka au?
 
Mara nyingi wa aina hiyo huwa wabovu na walishachoka kukimbiwa na wanaume. Mwanamke anaejitambua kama anakupenda kweli, atataka urafiki na wewe ili akujue ulivyo na sio kukimbilia ndoa huku akikunyima penzi wakati akihitaji vimisaada at the same time,hiyo ni sifa ya wanawake waliokubuhu na kuficha kucha brother.
 
Aseee hakuna kitu yenye changamoto ka kutoa demu bikra, saiz demu akinambia bikra nakula zangu kilomita
Haha usikimbie mkuu wangu ...chukulia kama changamoto...tena changamoto kama hizo nzuri mana.unaplan jins gani uta win ..unakua kama unapanga dili la kupiga hela..ukifanikiwa furaha yake hakuna mfano
 
Mara nyingi wa aina hiyo huwa wabovu na walishachoka kukimbiwa na wanaume. Mwanamke anaejitambua kama anakupenda kweli, atataka urafiki na wewe ili akujue ulivyo na sio kukimbilia ndoa huku akikunyima penzi wakati akihitaji vimisaada at the same time,hiyo ni sifa ya wanawake waliokubuhu na kuficha kucha brother.
Wengine wako okey tu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom