Ili ufurahie uhusiano wa kimapenzi ni lazima uwe na mpenzi mmoja! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ili ufurahie uhusiano wa kimapenzi ni lazima uwe na mpenzi mmoja!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Inno laka, Oct 3, 2012.

 1. Inno laka

  Inno laka JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 1,592
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  Katika maisha haya ya sasa il ufurahie maisha yako hasa katika ulimwengu wa mapenz ni lazma uwe na mpenz mmoja tu maana kuwa na wapenz weng wala siyo sifa eti dah jamaa anawanawake wengi hakuna tuzo ambayo mtu anapewa kwa kuwa na wanawake weng ama wanaume wengi....
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wewe una uhakika kwamba uliye naye ndiye aliyekubikiri/uliyembikiri? Kama sivyo, basi utakuwa umeshakuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.
   
 3. Inno laka

  Inno laka JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 1,592
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  niliyenaye ni kama wa tatu ila ndo nimetulia naye...
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kweli tatizo utamtoa wapi?
   
 5. Lateni

  Lateni JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 685
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Ukiwa na wapenzi wengi unakua hauko huru kabisa, Utakuta mmoja anataka muonane ijumaa jioni, wakati huo na mwingine anataka muonane ijumaa hio hio jioni, Basi hapo lazima mmoja adanganywe .

  Mwisho wa siku unajikuta unajiumiza mwenyewe kwa kupoteza muda , fedha na nguvu zako ili kuwa handle wote.

  Unakua huna uhuru hata na simu yako, maana unahofia wataweza wakajuana. Simu ikiita unastuka ! kila siku unakua ni mtu wa kihoro, Ya nini yoooote hayo?
   
 6. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Smile sikwambie mtu mdogo wangu ukiwa na mtu mmoja tu inapendeza san aukitaka kuamini siku mcheat uliye nae ndipo utakapojua raha ya kuwa na mpenzi mmoja tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  dada wangu wa moyoni upo??? Mi miss u jamani, lol!
   
 8. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  sema msiri wangu nipo sana tu. najiandaa na safari ya bonden best.
   
 9. N

  Neylu JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hilo nalo neno Bibie..!
   
 10. Root

  Root JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,146
  Likes Received: 12,854
  Trophy Points: 280
  Angalau umenena kaka maana hii dunia watu tunazungushwa sana

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kabisa na katika vitu ninavyoogopa kuvifanya maishani ni kuwa na uhusiano na watu zaid ya 1 at the same time,Yani sijawah na wala sithubutu
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Kuna ukweli hapo!
   
 13. s

  sacha Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kiukweli ni raha sana kuwa na uhusiano na mtu mmoja tu!!!haijalishi km ndie au ce aliekubikiri manake kushindwana kupo hata km alikubikiri ...muhimu n kuwa na mmoja ktk mahusiano!!!
   
 14. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Only one suits your needs..catching somebody to share love with is not like gambling where you get to throw a dice in so many times..just one is enough!!
   
 15. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ni kweli wengi tunatamani hivi, lakini je, wenzi wetu nao wanamtazamo kama huo au ndo wenyewe ukiwa naye anajifanya yuko kwa ajili yako na akienda kazini au kwenye majukumu yake kumbe ana mwingine?
   
 16. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kuna wanawake kwa matatizo ni balaa, kila siku ugomvi mara oooh najua unamwanamke, umetembea na nani, umemuhonga nani.. dawa ya mwanamke wa namna hii ni kumtimizia mahitaji ya anachokinena ili siku akikuuliza unamwambia "ndiyo"
   
 17. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,092
  Likes Received: 11,230
  Trophy Points: 280
  mke mwema
   
 18. Root

  Root JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,146
  Likes Received: 12,854
  Trophy Points: 280
  Huwezi watumikia mabwana wawili kwani utakuwa loyal kwa mmoja na uta mdispise mmoja so always save one master hata mm binafsi nimeamua kuwa na mmoja tu anatosha

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 19. N

  Natalia JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  No way
   
 20. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,978
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Kuwa na wanawake wengi sio sifa bali ni being smart! smart kwa kuwa dunia ya sasa full kuchakachua na kama utaweka ur heart na emotions zako kwa mwanamke mmoja basi wee unachukuwa risk kubwa sana.

  Sasa ukiwa na kama watatu hivi chances za wewe kuumizwa ni ndogo na pia chance kubwa ni kwamba utapunguza chance ya kupata ngoma provided u smart enuf kujua kuwa kama wewe una watatu basi na wewe hapo haupo peke yako
   
Loading...