Kuna maneno wanaume wenzangu hatupaswi kutumia

Kuna maneno wanaume wenzangu hatupaswi kutumia

1471017164769.jpg
 
Kuna wengine huwa wanatumia mpaka pyeeeeeeeeeeeeeeeee au mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuu, yaani ni aibu.
Welcome back loveeee micccc ya
Wakuu,

Mimi nakereka sana kidume mwenzangu anatumia maneno kama wangu, my, tena unakuta ana chat na mwanaume mwezie mengine mami mambo.

Unaanzaje kumsalimia mwanaume mwenzio mambo?
 
haha mwanaume anakwambia

-Akuuu,
-niache huko mie
 
Back
Top Bottom