Mwanamke akikupenda... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke akikupenda...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Papa Mopao, Aug 8, 2011.

 1. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Mwanamke akikupenda amekupenda kweli, ukimkorofisha tu, tayari anakuwa mnyama!
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mwanamke akikupenda kweli na wewe kama unampenda
  hata kama nchi ina vita,we utakuwa kutwa unatabasamu tu lol
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kama mnayajua yote hayo.......kwa nini huwa mnatukorofisha......?
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,612
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  Usipime BOSS! tabasamu lake si la kawaida watu wanaweza kudhani una uchizi kwa kutabasamu pekee yako kumbe you're in love! :):):)   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Hello Prt! Siyo wote wanakuwa hivyo! Ni baadhi ya Wanaume tu!
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nimefurahi sana kusikia limetoka mdomoni kwa mwanamme ineonyesha wazi kama mnatukubali kua wanawake ni wema sana ila ukijifanya unajua
  Utajuta kumfahamu.
   
 7. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Na ukipenda usipopendwa, balaa lake ........
   
 8. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi inakuwaje unampenda mtu mpaka unatamani mkaishi porini huko, watu wasiwaone, hakuna kuibiana penzi, just me and him
   
 9. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jamani ukipendwa raha
   
 10. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mkaishi kama kwenye location yangu kule, hakuna wa kuwagusa, kila kitu ni kwa ajili yenu tu
   
 11. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bado sijawahi kupendwa
   
 12. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Pole sana
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,612
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  Wala hujakosea Mkuu....Yaani ni raha sanaaaaaa!

   
 14. c

  chuji Member

  #14
  Aug 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br /hapo unataka kuvizia penzi la wa2 te te te.porini wanyama hawana akili kama za binadamu
  <br />
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  BAK, hebu tafadhali nishushie lyrics za 'strength of a woman' na 'when a woman is fed up', za zamani bt nadhani was shaggy boy!
  unajua hata mi nashangaa where the heck do i get all the energy to love and serve a man diligently,lol! :A S kiss:
  ila akikukorofisha, hata kumtabasamia unaskia exhausting!:A S-omg::boom:
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,612
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  Haya Mkuu ombi lako litashughulikiwa haraka iwezekanavyo :):):)....Shurti uweke ndita tena za kutisha LOL!


   
 17. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  kujisahau tu unajua ukipendwa sana unahisi mwanamke huyo hapindui kwako na wala hamna mwanaume mwingine anayemtaka!sasa mkibadilisha kibao ndo tunajua umuhimu wa uwepo wenu!.....
   
 18. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Location yangu ni porini pia tena kisiwani mkuu, nitawapisha tu,mi nitaondoka na meli walokuja nayo
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mapenzi ni kama limao...ukiweka pale panapostahili linanoga...ukidondoshea kwenye kidonda imekula kwako!!
   
 20. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Love rollercoaster: Kuna wanawake wengine wakipenda basi wanapenda sana ila ukiamua kuwapenda zaidi ya wanavyokupenda wanakugeuzia kibao na unakuwa msukule wa mapenzi (source: Mbu JF).

  Warning: ogopa mwanamke mwenye mapenzi sana, kwani akizuzuliwa na akapenda nje ya ndoa yako basi hapo ndo utajua kwanini kikwete anaitwa rais!

  Nimemaliza
   
Loading...