Ndio nimaliza chuo na ndio rasmi nimeingia kitaa kupambana na maisha. Nimepanga mahali nasukuma maisha kwa mishe zangu ndogondogo maisha yanasonga
Sasa shida ni kwamba kuna mshkaji wangu...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Unaambiwa katika dunia kila kitu kina hasara na faida. Hivyo kabla kufikilia kufanya unashauliwa kuanza kuangalia pande zote mbili yaani (ADVANTAGE na DESADVANTAGE )...
Wakuu hivi ni nini kinatakiwa kufanyika pale unapojikuta tayari umedate na mwanamke au mwanaume Mwenye GUNDU,NUKSI,MIKOSI?
Nitolee mfano mfano umedate na mwanaume x au mwanamke x na ghafla kesho...
Wikend baada ya kumaliza shughuli nzito ya kuwasilisha ripoti ya LAAC kwa waheshimiwa pale bunge dogo, nikaona kabisa ni bora tu hii sitting allowance nishee na mtoto wa chuo cha jirani hapa...
Kuna Mama jirani yangu (tumetenganishwa na nyumba mbili) tulikuwa na mazoea ya kusalimiana asubuhi na jioni tukionana na mda mwingine tunapiga stori za kawaida. Huyo mama anaishi na mumewe na...
Habari wana Jf natumaini mko salama mojakwamoja niende kwenye mada
Mim nikijana ambae nimekulia Kijijini ila kaka akaniambia nije mjini niwe namsaidia kwenye biashara zake kweli nikaja mjini...
NRNE
Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja...
Habari wana JF,
Niko hapa mbele yenu kutaka kupata walau maoni yenu kuhusu jambo linalonikuta maana nimefika hatua ya kukata tamaa kabisa.
Nitaeleza kwa kina historia ya chanzo cha tayizo langu...
Kuzaa kuna mengi 🤔🤔
https://www.facebook.com/share/16QrnEtdUo/?mibextid=xfxF2i
Mtoto anapigana na mzazi wake? Hii ni zaidi ya laana na mikosi kwenye familia.. Lakini pia kuna shida kubwa kwa...
Kuna wazazi viherehere, hasa wamama kupigia mabinti simu za mara Kwa mara, tena kuongelea hadi faragha za wanaenda hao
Binti akifikia umri wa kuolewa na kuamua kuolewa, heshimu uamuzi wake huo...
Kwan wana ndoa wapya kwa siku mnaenda round ngap? 2 au 3?
Mbona mwenzenu amepata mke anataka round 20 kwa siku?
Afanyaje?
Mshaurini?
Ila binti wa kwa Yesu unataka round 20 aje sasa? Au alikuwa...
Wana jukwaa habari zenu
Mimi na mke wangu tumefunga ndoa miaka kadhaa iliyopita na tulikuwa tunaishi mikoa tofauti kuna kipindi aliniambia tununue kiwanja nikamwambia sawa basi wakati nipo mkoa...
Nina wasiwasi juu ya hili wandugu!!
Leo mke wangu alitoka kwenda kumslimia dada yake (jirani tu na tunapoishi) nikawa nimebaki peke yangu chumbani (tumepanga), nikawa ninatafuta nguo za kuvaa...
Mke wa mdogo wangu Leo amenifunjia heshima yangu pasipo mimi kutegemea nilipigia simu na maam angu mzazi kunieleza kuwa yuko kwa dogo kwa mke wake kajifungua basi wa kanipa niwasalimie nashangaa...
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.
Sasa...
Najua Najua niliandika uzi kuhusu wanawake waache kuchagua wanaume kama wamefikisha umri kuanzia 31 kwenda juu
Leo naomba niongee na wanaume
Wanaume sikuhizi ndio sijui tuseme mmechoka au maisha...
Mithali 5:3 Maana midomo ya malaya hufondoxa asali, na kinywa chake ni laini kuliko mafuta
Mithali 5:4 Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga, ni mkali kama upanga wa makali kuwili
Mithali...
Mwanamke asikudanganye mtu, nisikilize Mimi
Maisha ya kulea watoto peke yako (Single motherhood) yanakuja na changamoto nyingi sana. Hata kama kuna mtu anakuambia ni mazuri unakuwa na uhuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.