wanaume wengi wanaonekana watu wabaya sababu ya mental health problems walizozipata kwa dharau za wanawake.
"Hakuna anayejali afya ya akili ya mwanaume hadi itakapogeuka kuwa hasira na ukichaa...
Kuna la kujifunza kwa Tulia Ackson Mwansasu kwa jinsi lvyoweza kujinyenuekeza kwa mumewe pamoja na cheo chake kuwa kikubwa.
Kuna hawa mburukenge wa kitaa ambao mafanikio kiduchu tu yanawafanya...
Asalam Aleykum, tumsifu Yesu kristo, Bwana Yesu asifiwe. Wanawake wanawake wanawake hakuna limbwata ya kumkalisha mwanaume chini.
Mwanaume kama hakupendi ni hakupendi tu usijihangaishe. Ukimpa...
Wanawake ni watu wa hovyo sana zaidi ya sindano ya ncha kali jichoni ngoja nikupe mkasa niliokuwa nao hivi sasa
Nilikuwa na Ex wangu nilifanikiwa kuzaa naye mtoto mmoja kipindi hicho ndo damu...
Heri kwenu nyote.
Wiki iliyopita Hadi Jana nilikuwa sehemu Moja kijijni katika harakati za kukusanya mpunga Kwa wakulima.
Sehemu hiyo ni Geita wilaya ya Nyang'hwale msalala Kijiji Cha bumanda...
Habari za jumapili,
Jana nikiwa kwenye mishe mishe zangu barabarani ilinipita gari aina ya Toyota brevis kwa spidi kali sana. Kufika kwenye mataa nikamkuta amekaa upande wa kulia mie nikapita...
It's just Tuesday.... happy day to you all.
This is for my love...
In your arms, I can still feel the way you want me when you hold me
I can still hear the words you whispered when you told me
I...
Wakuu habari,
Katika ujana wangu niliweza kuzaa na pisi kali watatu, na mwingine wa nne ni wakawaida.
Kutokana na kuzaa nao watoto wazuri, mawasiliano yamekuwa ni ya mara kwa mara, hasa kwenye...
Nimenotice hii kitu aisee
Ndoa zinamambo mengi plus kuishi na mtu ambae si mwanao si dada ako na mkatulia mkaelewana si kazi ndogo.
Wanawake wana mambo milion na matatizo yao ni mengi.
Vitu...
wakuu
=======
Kuna watu wanasema kuna baadhi ya wanawake wanaenda GMY kutafuta wanaume kwa mfano huu mfano wa DJ sinyorita kun ukweli kwenye hiyo kauli?
Wakuu,
Huwa najiuliza nakosa majibu,hakuna raha yeyote ya tendo la ndoa baada ya kulimaliza kulifanya,kwanza huwa ni kujilaumu na masikitiko tu.
Mtu uko radhi usile ili ukafanye mapenzi ila baada...
Best yangu alikuwa na mume wake , mwanzoni walikuwa na mapenzi yaleee kiasi mume anaweza kuacha simu yake ndani akaenda sehemu bila wasiwasi wowote ule. Sasa ghafla mume akaanza kuondoka na simu...
With Secret Thirteen
Hakuna mtu anayependa kunywa kinywaji ambacho kishafunguliwa mwingine akanywa kisha akakugaia. Hakuna ambaye anapenda kula pipi ambayo ishafunguliwa ikaliwa ikabakizwa...
Wakuu
Kuanzia leo,nikikutongoza halafu baada ya masaa mawili unanikubalia wewe nitakuona malaya na haufai kuwa mtu wangu
Mwanamke inatakiwa uwe wa thamani,utafutwe,usipatikane kwa muda mrefu ili...
Tunaweza kuwa tunaongea ongea sana humu mitandaoni ili kujiliwaza tu, jamani mapenzi yanauma nyie. Break up yangu bado mbichi, nina wiki tu toka nivunje mahusiano na lile dubwana bondia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.