Yani wasichana wa Dar wanajifanya high class sana, huku wakiwa ni matapeli wa mapenzi na ni wizi tuu, hata ladha yao ni tofauti na wa mkoani, yaani imekuwa kwa Dar mpaka msichana akupe penzi...
Wadau,
Hakuna kitu kinakera kama mtu mnakubaliana siku fulani na muda fulani mnaonana alafu yeye hatokei, unapiga simu hazipokelewi wala sms hazijibiwi.
Hivi wanawake huwa mnawazaga nini...
Hii couple ninaifahamu, mume ni mfanya biashara wa magari, mke ni mwalimu na wamefanikiwa kupata watoto. Tatizo huyu mwanaume hakuna skirt inayompita, kwakweli amekuwa kero kwa vijana wengi...
Kuna wanandoa wanaishi maisha ya ajabu sana mathalani unaweza ukamkuta mwanamke anatumia tendo la ndoa kama sehemu ya kujihami na kufikishia hisia zake kwa mumewe Mara kwa Mara na kuna wakati...
sasa hii ni kukomoana au nini yaani unamwita Dem tuu siku ya kwanza anakuja na rafiki zake huku hajui mfokoni upo vipi wakifika wanaanza kujiagizia vitu vya gharama Henkel na savana huku mikuku...
Mwizi
Huyu alikuwa kama karogwa. Atakuibia pesa kwenye wallet, atakuibia airtime. Mkienda naye out atataka aibe umma, glass na vijiko. Kuna kipindi alijua password yangu ya ATM hakika nikajuta...
Nafuatilia jukwaa hili kila anayetafuta kaenda age wengi ni zaidi ya miaka 25 wengine wanaenda mbali zaidi wana watoto, please bikra jitokezeni nanyi kutafuta hasa chini ya miaka 25 nyinyi...
Mtapiga fimbo, mtasema na kulaani lakini kama mtoto si muelewa hatawasikia mpaka mtamkinai wakati umemzaa mwenyewe. Ni furaha ilioje kuona mwanao ana hekima na busara. Hekima na busara hupatikana...
Eti wanaume wanadai hatudumu nao kwenye mahusiano maana tunawapiga sana miamala ya mpesa ,tigopesa nk. Acheni visingizio jamani, Mungu anawaona. Mbona sisi tunawapenda tu, hela kidogo tu ndo...
Naamin Mpo Ok MMU !!!!
Ni mara nyingi dada zetu wamekuwa wanatusema vibaya saana. Ooh wanaume wamekuwa mabahili, hawataki kutoa pesa,mihogo michungu, mamiser na majina kibao. Ifahamike mapenzi...
Ukijaribu kuchunguza chanzo cha ugomvi katika ndoa nyingi kipo kwenye uaminifu. Miaka hii sio ajabu ndoa ya siku mbili kuvunjika, wengi tunaishangaa ndoa ikidumu miaka mingi huku upendo kati yao...
Naogopa sana kupata ugonjwa wa UKIMWI,nazidi kumwomba mola anilinde na hilo jinamizi.
Sasa nataka kufanya maamuzi magumu ya kuvuta jiko lilotulia lenye sifa zote za kitanzania na pia mwenye...
Habari za Jumatatu wa wakuu, poleni kwa pilikapilika za sikukuu.
Nisiwachoshe kwa maneno mengi, nimekuja kwenu kuomba ushauri, mimi naamini kwenye wengi pana mengi, hivyo hapa JF kuna wengi...
Hello ladies n Gents wazima wote!? Motto ni kuakikisha tunakua ma don zaidi ili our ladies wawe madiva zaidi....
Siku chache zilizopita nilikutana na kasumba ya mapenzi ambayo ama kwa akika mtu...
kwa mawazo yangu ya harahara nilijua sina kaka,haiwezekani braza anipe pesa aseme shemeji yako asijue.Niliwataarifu wana ndugu pamoja na wazazi ili walijue hilo sio kwa nia mbaya ila kwa bahati...