Ukijaliwa kuwa msichana mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani, urembo wako hauwasumbui, kama bichwa lako ni kanyaboya, uzuri wako hausaidii kitu...
Sometime nakuwa na wivu wa kijinga sana. Usiku wote sikulala kuna msg iliingia kwenye simu ya wife inasema "honey nakutakia usiku mwema na uniote" basi nikapaniki kwel kuangalia vizuri jina kumbe...
Hivi vyoo vya kike vina nini?
Nashanga hata wao huwa wanaambiana au wananiambia nimeingizwa choo cha kike?
Kwani nikiingia nitapata shida gani? si nitakojoa tu nikiwa nimesimama?
Nilidhani choo...
Kama wewe na mdada wa makamo unakaribishwa hili tuwe tunashauriana na kushare mambo mbali mbali ya maisha.
Mimi ni mkaka, miaka 26 nashukuru Mungu ninafanya kazi zangu mwenywe (Biashara), Ni...
Ukitaka kuishi na mke wako bila kukwaruzana inabidi ufanye jambo moja rahisi sana mimi na mke wangu ndani ya nyumba maongezi yanakuaga hivi:
Mke: baby huyu mtangazaji simpendi sjui yupoje hajui...
Me npo iringa mwanamke wa dini yeyote,kabila lolote,awe ameajiriwa miaka18 had24 me nimejiajiri ktk kampuni zangu Nina miaka26 pia nasubir ajira ya maguful interested women ani pm
Habari za asubuhi mabibi na mabwana.
Maandiko matakatifu yanatueleza kuwa, ndoa ya kwanza ilianza katika bustani za Eden kati ya Adam na Eve (Hawa). Mungu alimwambia Adamu nitakuletea msaidizi...
Ukweli usemwe. Ndoto ya kila mwanaume katika hii dunia wakati mmoja au mwingine hufikiria kuwa na kipawa cha kuweza kumzuzua mwanamke yeyote anayemzimia. Uzuri ni kuwa hauhitaji kuwa tajiri ama...
Malalamiko ya single mother kuwa majanga ukiwaoa yameongezeka sana but naomba niwape ukweli na kuwasaidia
Kwanza hata mseme kuwa hampashi vipolo na wazazi wenzenu au mseme hilo wanalifanya...
Wakuu...
Kama ukiona mwandani wako anakukosea na anakuomba msamaha lakini anarudia kosa hilo tena na tena washa taa nyekundu maana mtu wa aina hii huwa kuna kauli huwa zinazunguka kichwani...
This is for you my love.....
Tonight I celebrate my love for you
It seems the natural thing to do
Tonight no one's gonna find us
We'll leave the world behind us
When I make love to you
Tonight I...
natafuta mchumba Muislam awe mzuri,umri usizidi 23yrs,elimu kuanzia form 6 na kuendelea,mimi ni mtumishi serikalini,Awe anasoma au anafanyakazi au biashara,kwa aliye serious aje PM au email...
Habari wana jf,kuna siku nilikuwa sehemu fulani napata chakula la jioni bahati nzuri hapo hapo nikakutana na binti mmoja mrembo, sio siri nilivutiwa nae ili nimuombe faragha tuzungumze ili...
Kuna rafiki angu ni mfupi wa kati lakini amempata binti wa kichaga ambaye anaupendo sana kwake lakini ni mwembamba alafu ni mrefu kidogo dhidi yake. Jambo la kushangaza ni kwamba mwanaume...
Kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Geah Habib akiwa maeneo ya Kiwalani jijini Dar es salaam, amekutana na stori ya dada na kaka waliopigana kisa kikiwa ni Kaka kudai dada yake akiwa na mumewe chumbani...
Wako wapi?au napishana nao nini?Niko nao mtaa tofauti?yaani wanawake ninao date nao mimi siku akikuchangamkia either atahitaji hela very soon au umetoka kumgea hela
Aisee Mungu anawaona wanawake...
Naombeni mchango wenu,
Hivi kumiliki msichana mzuri unatakiwa uwe na pesa, bahati au uwe handsome maana mimi ni handsome lakini pesa sina na nikibahatika kuwa na msichana mzuri basi anakuwa na...