Jinsia ya kike mbadilike

Jinsia ya kike mbadilike

PNC

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
8,105
Reaction score
14,356
Ukijaliwa kuwa msichana mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani, urembo wako hauwasumbui, kama bichwa lako ni kanyaboya, uzuri wako hausaidii kitu na utashangaa no one is paying attention, watu utakaowapata ni walewale kanyaboya wenzako na hawana future utabaki unaliwa bure kila siku unatoa macho.

Ukipata mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu danadana, madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni mzuri, la hasha! Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako mheshimu, maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka, sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako, maana hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo.

Watch out, drama zina mwisho, leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa,usidhani wanaume hawaumii, tunaumia sema hatusemi tu, machozi yetu kama ya samaki, tunalia ndani kwa ndani "Hatuwapendi wanawake kwa sababu ni wazuri, ila tunawaona wazuri kwa sababu tunawapenda".
 
Usione vinaelea ujue vimeundwa polee.
 
Dadaz wakiwa katika ubora wao hadi nyumbani kwao wanaandika " kuna mbwa mkali". lakini wakishaafikia ile age ya kumpata yeyote ndo shida ndo wanaandika home kwao " tunauza ice cream" ,
 
Tafuta hela kijana acha kujiliza, la sivyo wazuri utaishia kuwaona kwenye radio na warembo utawasikia kwenye TV.
 
wanawake wazuri wapo kwa ajili ya kuchezea pipe tu wanawake wa kawaida ndo uwaga wana akili kichwani na wanafaa kuoa ,sasa wahuni wote tunajua dawa yao yaan pumb* thn anapita kule sasa ww uneleta sura ya upole ndo mana wanakushinda....nkm kuna kitu rhs dunia hs kwenye mahusiano ni kupata demu mzur ila km kuna kitu kazi kweny mahusiano ni kudumu na mwanamke mzuri yaan 80% uwaga ni ma mbu mbu mbu yakutupa....
 
yani kuna mademu wanajiona uzuri wao ndio kiburi cha kupata pesa mjini kumbe watu wanakupa pesa anakupiga dyudyuuu alafu upite hivi mwisho wa siku thamani inashuka alafu unatafuta mchawi wenye tabia hizi mbadilike
 
Back
Top Bottom