Kwanini choo cha kike?

Kwanini choo cha kike?

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,828
Reaction score
12,319
Hivi vyoo vya kike vina nini?
Nashanga hata wao huwa wanaambiana au wananiambia nimeingizwa choo cha kike?
Kwani nikiingia nitapata shida gani? si nitakojoa tu nikiwa nimesimama?

Nilidhani choo cha kiume ni kigumu kwa mtoto wa kike kukojoa, ivo msemo ungefaa uwe "umeingizwa choo cha kiume"!
 
labda kulingana na namna wanavyochukuliwa wanaoingia ktk hivyo vyoo
 
Fikilia zaidi ya hapo,maana ipo misemo mingi ukiichukulia kama ilivyo hutopata maana halisi
 
Back
Top Bottom