DHAMIRA
kukutafuta wewe dada tuliyeonanana dodoma
NIA
tuwe marafiki na kusaidiana katika maisha
SIKU
tarehe 30/7/2016, saa 5 hadi saa 7
ENEO
katika internet cafe iliyoupande wa magharibi mwa...
Kila kukicha, mara kwenye nyimbo kuimbwa...ati ana bonge la t*ako, ni lipi hasa?? jamani, nimekutana na maduu wana nyau aibu. Acheni kupaisha mtu bila research.
Wadau poleni na mihangaiko ya siku. Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni ushauri plz
Juzi nilirudi home nikakuta mdada wa kazi chumbani kwangu akiwa na kanga moja wakati huo mr...
Habari wana JF
Kuna uncle wangu alikua ana maisha mazuri sana magari,nyumba,viwanja vya kutosha ila alikua ajaoa mke ila alikua ana watoto wa 3 wa kwanza age 26, wa pili ana 21 na wa ana 17...
Uzuri wa mwanamke ni tabia ambayo imehamia kwa wasichana(ambayo siku hizi imehamia migongoni mwa wasichana,unapopishana naye lazima ugeuke kidogo kama ana tabia nzuri au la).
Kutokana na sasa hivi ugonjwa wa heart broken kuonekana wazi umekosa chanjo na matibabu yake ni ya magumashi tupu kama Ebola thread hii itasaidia kila jinsia ijue jinsia nyingine priorities...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!
Sijui maisha magumu au nini ila wimbi la wanaume kuwaomba mademu hela limeongezeka sanaa. Sote binadamu haina...
Sasa inalazimika kudai risiti kwa kila huduma, maana mambo yamekuwa ndivyo sivyo kabisaaa. Yaani mambo yaliyokuwa bure zamani siku hizi watu wanadai malipo tena kwa kutangaza kabisa hadharani...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Leo nimeenda kwa Dada kubwa, dada la mjini. Dada kubwa mwenzangu ni mdada wa makamo, tu anakaribia 50 lets say 40 na kitu, na ana mtoto yuko A level...
Habari wakuu ,
Mimi ninaishi Arusha mitaa ya kwa Morombo.Ninachangamoto ninayoiona kama hatari kwa siku za usoni ndo maana nipo hapa kupata mawazo yenu wakuu.
Ni hivi karibuni nimefahamiana na...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Sasa Osokoni (Kama hujasoma part 1 na 2 zitafute) nikampotezea na kuendelea na maisha mengine si mnajua mjini...
Habari zenu wakuu,
Leo nimepokea simu ya mdogo wangu akinipa taarifa ya kuachana rasmi na aliyekuwa mkewe madai kuwa mkewe alikuwa akimfanyia vitendo vya ushirikina (limbwata) na mambo yanayo...
ni tukio la kweli na siyo stori ya kutunga kama watu wengine wanavyocomment kifupi acha niimalizie ili unisaidie kimawazo
part 2 imeishia paleeeeee....kifupi ilikuwa raha sana kwetu sote mpaka...
Toka nijue mapenzi nlikua sijawahi kulia kwa ajili ya mapenzi yamekuta had I nimelia na kunifanya nimeyachukia mapenzi nilikua katka mahusiano kwa miaka miwili na nusu na girlfriend wangu Sikh...
Bila shaka wengi wanaume tulioa tunakutana sana na kisanga hiki. Mara nyingi wake zetu wamekuwa na tabia za kutukataza kwenda kwenye mechi mbalimbali hasa zile zinazochezwa usiku. Hili limekuwa...
After losing job nikaona ngoja nikajipange home, kufika home nikapata idea cha kufungu carwash jirani na home maana kuna kisima maji mengi ya kumwaga masimtak matatu ya 10000ml dah napiga kazi...