Kijana Jr
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 564
- 888
After losing job nikaona ngoja nikajipange home, kufika home nikapata idea cha kufungu carwash jirani na home maana kuna kisima maji mengi ya kumwaga masimtak matatu ya 10000ml dah napiga kazi life inaendelea.
After all siku zinasonga, leo hii kaja dada flani hivi, hi Baraka pole na kazi Baraka ujue hapa mtaani mtu pekee mwenye ustarabu ni wewe ok i say sorry about plz plz Baraka naomba tukae kidogo pale nahitaji ushauri mimi nina mpenzi wangu aliniambia kazi yake ni dalali wa magari, na akaniahidi kuwa na mimi ataninunulia gari ili nisiwe na tatizo la usafiri.
Niliongeza mapenzi kwake ili asijekusahau kunipa gari. Uchumba wetu
ulichukua miezi mitatu kisha tukaoana katika ndoa ambayo mpenzi wangu alisema tufanye kakitu kadogo tu kakisiri tusiharibu pesa.
Ndugu zangu walininunia lakini mimi sikujali. Kwa kuwa nilikuwa na chumba
kizuri katikati ya mji, ilionekana maisha tuanze kwetu maana mume wangu akisema alikuwa akiishi na mama yake nje ya mji, aliyekuwa akimkataza
asipange chumba. Huwezi kuamini Baraka anatoa kitambaa kwenye kipochi kanafuta machozi na vikamasi, kanaendelea kunisimulia.
Juzijuzi tu ndio nimegundua kumbe nilikuwa nadanganywa siku zote, kumbe mume wangu kazi yake ni kuosha magari, hana udalali wala nini. Kuna kijiwe
chao kando ya mto wanaosha magari mchana kutwa, sasa akiachiwa aoshe gari basi ndio huzunguka nalo na ndipo alipoweza kunidanganya nikaingia kingi.
Kwanini alinidanganya vile? Si angenieleza tu ukweli nijue? Jamani kanafuta machozi kanaendelea simulia, nitaendeleaje kumuamini sasa? Mbaya zaidi mi nimemaliza chuo kikuu na nimegundua kuwa jamaa hakumaliza hata
form two, Baraka what do I do? Uku kana nipigapiga kwa bega na kutoa vimachozi. Wenzangu walikuwa wananicheka nilikuwa siwaelewi.
Nilikuwa kila siku napiga picha niko kwenye gari tofauti nazituma instagram,
jamani watu wakigundua si ndio watanichamba mwaka mzima? Ndugu zangu walinionya kuwa wanamuona jamaa tapeli nikagombana nao sana, narudije kwetu? Nipe ushauri Baraka kwanini macarwasher mnakua hivi.
Hata mimi sijui nimwambieje?
Huyu mdada, natamani kumpiga makofi kwa kunichora na ujinga wake?