Nimepiga Kizinga Nimejibiwa NZI AKIAMUA TRUST ME ATATENGENEZA ASALI. Free P ya Mwendokasi!


lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,564
Likes
11,647
Points
280
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,564 11,647 280
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sasa Osokoni (Kama hujasoma part 1 na 2 zitafute) nikampotezea na kuendelea na maisha mengine si mnajua mjini hapa time is moneyyyy! Nishaanza kumsahau kabisaaa, na nishaa na mishe zingine maeneo mengine kabisaaa. Nikajikubali kweli mi kubwa la maadui kwa moyo huu niksema najiua si najiua kweli hivi hivi. Mmmmmh! Sitaki hata kufikiria.

Yakawayanatokea tokea tu mambo mi na Osokoni tunaktana sasa mimi mwenzenu nkishasemaga BAAAAAAAAAAAAAASSS mjue BAAAAAAAAASSSSSS. Tukikutana niko very at easy, SINA MUDA, yani sina mudaaa kabisaaaa mie tena. Sitikisi kope. Alijua sijui, au yule chaumbea alienda kumwambia maana ofisini huku undumila kuwili ndo kauli mbiu yetu. Akaanza kunizoea yeye na mmi sasa ndo nishaamua sizoeleki sasa kama yeye alivojitia hazoeleki. Yeye Osokoni mimi Mwarobaini. Nikawa naenda vizuri kabisaaa na hili mpaka mambo yalipoharibika.

Mambo kuharibika ni pale ambapo nilihitaji hela za haraka, afu nyingi. Nikawaza na uwazua nikakosa pa kupata. Nikamkopa shoga angu akanitimuaaa yaani yeye anazidisha kuhesabiwa dhambi kwa kutembea na mume wa mtu sababu ya hizo hizo pesa afu anisaidie mimi imekaaje hio? Labda anisaidie pesa za bia tu kutuliza mawazo, atanunua mi ninywe tani yangu. Nikawaza hivi kwanini napata shida na mi si nitafut mbaba tu,, kiruuuuuu, nikawaza tena mbaba wa nini wakati Osokoni yupo, kijana na helaanayo kuliko hata huyo mbaba kinachotakiw kumzidi akili tu.

Nikazidisha na kugawanya nikamjaza Osokoni kwenye 18 zangu na kusema na deal na huyu huyu sitaki masihara. Kukutana nikabadili approach ya userious, na yeye akabadili approach. Akaniuliza kesho unakuja kazini, nikamwambia siji, nitakuwepo tu nyumbani napika pika NJOO. Nikamrushia kibomu hiko. Akaanza kuweweseka oooh sijui niko bussy, kuna mambo gani sijui, kimepanda kimeshuka. Nikamuuliza kwa hio unakuja au huji? Akawa anajizungusha. Nikamuita Harrison kesho ukitoka kazini fanya uje ghetto napika kipungaaa cha hatariiii, kitu cha basmat ya pilau.

Harrison hajivungi, akasema nakuja mwanangu, nacancell kila kitu. Say no more mi nimo si najua sina mke, siwezi kukataa kipunga, afu ghetto kwako huenda nikafikiriwa vingine akili za shibe hahahaaaaaaaaaaaa. Osokoni kanuna huku mbona umemwambia Harrison wakati it was btn me and you. Ujue una matatizo wewe dada. Kitu tunaongea wawili usharukiakumuita Harrison. Nyooooooo! Nikamwambia wewe you busy me i need company. Akawa kazira anaendelea na mambo yake. Mi nikaenda kukaa kule kule kwa Harrison kumfrustrate tu.

Nimekaa hivi, naona sms get rid of him, kesho nakuja mwenyewe. Nikamjibu too late, ushadegua. Akaanza kuni comand nimesema get rid of him. Nikasema huyu nishamuweka kwenye 18 zangu. Kweli nika get rid of Harrison ili nimpige kizinga Osokoni. Akaja anakula kwa chati ka baba mwenye nyumba moyoni nasema kula ushibe baba hiki kizinga si kidogo nitachokupiga hahahaaaaaaaaa. Nikaanza kulijamba hilo shuzi baada ya msosi akiwa in mood.

Mmmmmh! Hahahaaaaaaa! Looooooh! Nimejieleza kwa kina na kumuomba mkopo wa hio hela ambayo sikuwa na nia ya kurudisha, if i paid him at all would have been in sex. Hahahaaaa! Akanisikiliza kwa makini nikasikia nimekuelewa sanaaa. Nikasema Halelluyah! Na kushusha pumzi za ushindi. Ila sitokupa hio hela! Tobaaaaaaaaaa! Nkiki? Sitokupa hio hela! Chinekeeeeee! Heeeeeeeeeeeeeeeey! Yani sikutaka kusikia sentesi inayofatia kifuatacho ITV kilikuwa ni kumtimua ndani kwangu. Nikawa nakusanya nguvu kwanza.

Nikasikia you have potential, big potential, huge potential to make that money and more. Sema hauko serious na perspective yako umeikita kwanye kumzidi mtu akiliakupe hio hela kuliko kuitafuta hio hela. The energy uliotuma kuni convise ukiiweka kwenye business hakuna cha kukuangusha. Hahahahaaa! Mxiuuuuuuuuu. Sound za mwendo kasi. Mi nataka nikusaidie MAWAZO (SIO HATA MTAJI) ufanikiwe kwenye biahara blah blah blah blah. TRUST ME NZI AKITULIA NA KUAMUA ANATENGENEZA ASALI. Hahahaaaaaaaaa.

Mxiuuuuu, nikajionea tu hizi sasa FREE P za mwendo kasi Nikamwambia fanya uende kwako, usiku ushakuwa mwingi. Ooooh i was thinking nalala hapa hapa, weeeeeeeee! Ulale wapi? Hela uninyime na kulala ulale thubutuuuuuuuu. Nikamjibu tu NZI AKIAMUA TRUST ME ATATENGENEZA ASALI NA WEWE UKIAMUA TRUST ME UTAFIKA KWAKO SALAMA. Hahahaaaa! Unaleta janja ya nyani, goodluck with the blue balls. Hahahaaaaaa! Mwisho akasepa zake bila bila, mimi bila na yeye bila.

Ila kama nimgeni mjini hizo sound za NZI AKITULIA ANATEGEZA ASALI sijui i want to empower you sitaki uwe omba omba, you can do big things, sijui jiamini una uwezo mkubwa sanaaaa blah blah blah unaweza jikuta umepigwa FREE P za mwendo kasi usiku kucha ukijiona Oprah au Florunsho Alkija keshooooo ndo ungestuka ULIKOPWA hahahaaa. Mjini hapa jamani loooooh. Sihami.

Bado Osokoni ana ni text about making me the next big thing after him, ila kwa hela zangu. Nyooooooo. Hahahaaaaa!
,
 
cesilia

cesilia

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,238
Likes
1,136
Points
280
cesilia

cesilia

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,238 1,136 280
hahaaaaaa lara 1 unakoelekea unaolewa na huyo mbugira utanyooka tu soon
 
Cauldron

Cauldron

Senior Member
Joined
Apr 27, 2016
Messages
191
Likes
203
Points
60
Cauldron

Cauldron

Senior Member
Joined Apr 27, 2016
191 203 60
Huyo hakuachi na atakutafuna, kwa sababu amesha onesha anataka papuchi na hela yake utaifaidi baada ya kukugegeda
 
M

Mr Smart

Senior Member
Joined
Jan 31, 2013
Messages
172
Likes
73
Points
45
M

Mr Smart

Senior Member
Joined Jan 31, 2013
172 73 45
Ndege mjanja hunaswa kwenye tundu la miwaya.. na makambakamba.. utakuja kuangukia sehem hiyo.. hutaamin.. trust me..
Utakua unawaza unacheka tu...
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,399
Likes
38,575
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,399 38,575 280
lara 1 umeua bendi
 
uhurumoja

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Messages
1,865
Likes
1,557
Points
280
uhurumoja

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2014
1,865 1,557 280
Kuna watu ukitaka kuwawin umpende kwanza ki kweli maana wanachotaka wao ni hisia za kupendwa ila akigundua unamchezea nae anakuchezea akili basi.
 
Mazigazi

Mazigazi

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
4,681
Likes
2,935
Points
280
Mazigazi

Mazigazi

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
4,681 2,935 280
Hhahhahhahahahhh Ila osokoni kanifurahisha sana .

Kachomoka mbele ya kubwa la maadui may be he is the living staring remained against the great villain hahahahahah

Naona sasa wanaume somo la capitalism tunaanza kulielewa

Tuko kwenye transition period tunashift from socialism .

Thank serikali ya Anko magu kwa kufanya hali ya hewa kifedha kuwa ngumu somo limetukaa vizuri .
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
4,680
Likes
4,155
Points
280
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
4,680 4,155 280
Step zako nimezipenda,ila osokoni balaaaa,usisahau another episode pls
 

Forum statistics

Threads 1,236,340
Members 475,106
Posts 29,254,803