Yeah tamaa ya mafanikio imachangia kuporomoka maadili kwa pande zote wanawake wanataka mwanaume aliye fanikiwa bila kujua mafanikio aliyo nayo kayapataje na vilevile kwa upande wa wanaume akifanikiwa kidogo tu inakuwa shida hata mtaani kwake anataka kila mtu amunyenyekee kila mwanamke atumie ni shida kweli kweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.