Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,204
Hii title mi sihusiki nayo..
Naseka mpaka nanya gete[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Waungwana Mle Molaah(Kisukuma)
Kuna kitu uwa sikielewi labda Ni sababu ya ushamba wangu unaotokana na Kabila langu..
Unakuta mdada anaandika tangazo la kutafuta Mme,Mchumba,Mpenzi na nk social netwk,na kweli vijana wanajitokeza kwa wingi kuomba nafasi ilee,sasa uwa Ni method ipi hutumika kumpata mmoja??
(Au anayeanza kuzibitisha Muamala ndo zali humuangukia huyo uyo)
Na nyie wanaume wenzangu,sio poa kabisa kutoa maneno ya kashfa na fedhea kwa waleta matangazo ya kutafuta patners humu eti kisa nyie mpo kwenye ndoa au uchumba.MUNGU ANAWAONA
NB
Naandaa mazingira kwanza,tangazo official linakuja
Hiii title Ata mi sielew imefikaje.sikuandika ivi Mie.ndo nashangaa piaNdo umetoka kuamka mkuu..?
Agayaaa!!!! Kwani wetaga ke??Loshindo loko
mmh bhabehi. shene hange.Loshindo loko
hahahahha nilikwambia njo mwanza unisalimie uone wasukuma wenzio wanavyoishi ukakataa hadi nimeondoka duhh we kweli msukuma wa darHiii title Ata mi sielew imefikaje.sikuandika ivi Mie.ndo nashangaa pia
TITLE ILIKUWA ' MAPENZI NA MITANDAO YA KIJAMII'
Bebheee otobyaaaa sagala igikooLoshindo loko
Hahahahaha,mwanza ndio hom sasa.Pasians moja iyooooohahahahha nilikwambia njo mwanza unisalimie uone wasukuma wenzio wanavyoishi ukakataa hadi nimeondoka duhh we kweli msukuma wa dar
Ukitafsiri tu unakula banLoshindo loko