Vigezo huna Eti unalilia wataka kuolewa, Heeee!!

kubwa_Lao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
934
Reaction score
1,187
Ni ajabu sana unakuta mtoto wa kike analia na kuomba sana ili aolewe wakati anajijua fika hana vigezo vyovyote!!

UkimTEST katika ujuzi wa DINI hana kitu.

Ukimtazama katika vigezo vya UZURI hamna kitu

Ukimtazama kwa vigezo labda anatokana na familia yenye heshima au hadhi hamna kitu

Haya basi unamcheki na kwenye MALI nako hamna kitu.

Vigezo vyoooote huna halafu bado tu unakalia kuchagua wanaume, x¥%•~αch yako.

Hebu jitandike kibao na uzinduke la sivyo utachina hapohapo nyumbani kwenu
 
Unajua mkuu maisha ni kuchagua, na jinsi yalivyo mafupi haina haja ya kucomplicate kbsa. Usilazimishe mapenzi. Akiringa ww achana naye. Ulichosema huko sahihi kbsa.
Ila kumbuka hawa wenzetu ndio tabia zao, inabid uwe mpole tu. Tumeumbwa kuteseka mkuu.
Unaamka asubuhi unaenda kubeba zege, unatoka saa 12 jioni. Demu wako anakupigia simu mkutane au ww unataka mkutane
Mnakutana guest, chumba sh. 10,000, vinywaji na chakula tufanye 20,000, nauli ya huyo mwanamke tufanye 5,000. Mchezo unaanza. Demu analalamika haujamkuna vilivyo. Mnamaliza unampa 30,000.
Jumla km 65,000 hiv, kiufupi wanaume tumeumbiwa mateso kwahiyo ndugu wala usilalamike kbsa.
Hata ukimfuata ambaye ameishia darasa la 7 lazima awe na vigezo hata ww mkuu unavigezo vyako.
Ukiona kitu hakikufai kwann ung'ang'anie?
 
Unaemuona hana vigezo kwa mwenzio ndo anaemtaka.sio lazma vigezo unavyovitaka wewe wanawake wote wawe navyo
 
Unajua mkuu maisha ni kuchagua, na jinsi yalivyo mafupi haina haja ya kucomplicate kbsa. Usilazimishe mapenzi. Akiringa ww achana naye. Ulichosema huko sahihi kbsa.
Ila kumbuka hawa wenzetu ndio tabia zao, inabid uwe mpole tu. Tumeumbwa kuteseka mkuu.
Unaamka asubuhi unaenda kubeba zege, unatoka saa 12 jioni. Demu wako anakupigia simu mkutane au ww unataka mkutane
Mnakutana guest, chumba sh. 10,000, vinywaji na chakula tufanye 20,000, nauli ya huyo mwanamke tufanye 5,000. Mchezo unaanza. Demu analalamika haujamkuna vilivyo. Mnamaliza unampa 30,000.
Jumla km 65,000 hiv, kiufupi wanaume tumeumbiwa mateso kwahiyo ndugu wala usilalamike kbsa.
Hata ukimfuata ambaye ameishia darasa la 7 lazima awe na vigezo hata ww mkuu unavigezo vyako.
Ukiona kitu hakikufai kwann ung'ang'anie?
True say
 
Ni ajabu sana unakuta mtoto wa kike analia na kuomba sana ili aolewe wakati anajijua fika hana vigezo vyovyote!!

UkimTEST katika ujuzi wa DINI hana kitu.

Ukimtazama katika vigezo vya UZURI hamna kitu

Ukimtazama kwa vigezo labda anatokana na familia yenye heshima au hadhi hamna kitu

Haya basi unamcheki na kwenye MALI nako hamna kitu.

Vigezo vyoooote huna halafu bado tu unakalia kuchagua wanaume, x¥%•~αch yako.

Hebu jitandike kibao na uzinduke la sivyo utachina hapohapo nyumbani kwenu
Dini we ndo unapaswa umfundishe huyo mwanamke

Anaweza asiwe mzuri wa sura Ila ana uzuri wake mwingine

Anaweza akawa kwao hawana uwezo Ila yy ndo akakuletea wewe mafanikio

Anaweza asitoke kwenye familia ya heshma Ila yy akawa anajiheshimu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom