Yaani mmekaa kupiga piga tuu..kweli mnapendeza sana, Mungu kawaumba vizuri sana, miguu, chura usiseme..yaani mashallah, TATIZO...mnapenda pesa sana jamani punguzeni.
Yaani mkitamkiwa kidogo tu ...
Kama heading inavyojieleza,
Kwa kweli 'chagulaga' nitaikumbuka daima. Niko level kubwa kimaisha ya kuweza kufanya analysis ya vitu na matukio mbalimbali katika jamii lakini sababu zilizopelekea...
Habari wana-MMU.
Katika karne hii ndoa nyingi sana zimekua zikipumulia mashine. Si mwanaume, si mwanamke wote macho juu-juu mitaani utadhani vyura.
Hivi mnakosa nini kwenye ndoa zenu...
Yani kuna janga hili limekua janga haswa na limefanya hadi watu wanapiga hela kila kona Dar ukipita Dar ni matangazo ya tunauza dawa za kiume haaaa.. huku mkiwa na miadi na mwanaume unawaonea...
Habari wadau
Nimejitokeza kwenu kuomba ushauri katika jambo hili linalonikwaza .seen qwq to the the right right  new right the the Nimeingia katika Mahusiano na bint ambae alikuwa na Mtu wake wa...
Hata maandiko matakatifu yameandikwa mwanaume utahangaika juani ili umlishe mkeo na mwanamke atazaa kwa uchungu, sasa imekua siku hizi wanaume kumhudumia mwanamke imekua ni kulia lia sana mwanaume...
RAHA YA KUWA NA MWANAMKE MSOMI na MWEREVU, MESEJI ZAKE
1. Ndio mpenz wangu, nimekumiss sana. Naenda pata lunch, tutaongea vizuri baadae. Love you!
2. Mume wangu kipenzi nazidi kumuomba Mwenyezi...
Habari za weekend wakuu,
Nimekuwa na wakati mgumu kwa muda mrefu bila kufurahia ndoa yangu tangu nimeolewa. Ni hivi mume wangu amekuwa ni mtu wa michepuko isiyo na idadi kibaya zaidi hakuna beki...
Wanawake wanatongozwa au hushawishiwa na wanaume mpaka kwenye mahusiano, Je wanawake wanaishi na wanaume wa ndoto zao? Kama jibu lake ndiyo, Je inawezekanaje wakati wao ili waingie kwenye...
Wakuu habari zenu, naomba kuuliza hv kwel mwanamke ambaye amekusaliti na akaomba msamaha kweli anaweza badilika asirudie tena?? Na hapo ni amekuwa na mpango wa kando kwa zaidi ya miaka mitatu...
BAHARI WANA JF WENZANGU
Mimi ni mtu ambaye ninapenda kujichanganya sana na watu wakila aina na umri wowote, kasoro wezi vibaka , matapeli na wale wapenda wanawake wengi au wanaume wengi
Sasa...
Hello, hamjambo ndugu zangu
Nina umri wa miaka 26,kadri miaka inavyozidi kwenda ndivyo nami navyozidi kupoteza confidence ya kumface mtoto wa kike na kumueleza yanayonisibu.
Miaka ya nyuma...
Soma kwa makini, mapenzi sio shape. Kuna wanawake wana shape kubwa, lakini wana akili ndogo kama punje ya
Ulezi au mchele, ukimuweka ndani huyu ni hasara tupu. Kuna wanawake hawana shape lakini...
Wengi huwa wanasema nisipoolewa nae/ nisipomuoa atajisikiaje,kama humpendi ni bora umuache mana ukiingia kwenye ndoa sababu ya huruma tambua kabisa hilo ni bomu la utambi...Huruma isitumike...
Habari wakuu,
Nchini Singapore kuna utamaduni wa kwamba siku ya kwanza ya kumuingilia mkeo lazima familia yako iwepo,tena wakikuamasisha jinsi ya kuingiliana na kukufundisha mchezo huu,mimi...
Ukiona umekaa na mpenz wako kwa miezi sita hajakutambulisha kwa ndugu zake au hata kwa rafiki yake mmoja,jua hapo haupendwi
..
Sepaaaaaaa kimya kimya....
AINA 8 ZA WANAWAKE HATARI
1 MUKHTALIYA - Huyu ni mwanamke mwenye tabia ya kujivua yaani mara kwa mara hupenda kuomba talaka hata kosa si kosa yeye keshataka aachike tu, huyu hafai hasa ukimpenda...
Mdau ni jambo gani la kijinga ambalo umeshawahi kununiwa na mke wako au mpenzi wako!
Mimi nmenuniwa leo kisa sijamsifia amependeza as amevaa earing (heleni) mpya!!!
Kuna tabia fulani kwa baadhi ya wanawake mnapokua faragha kukimbilia kuvua nguo, badala ya kusubiri kuvuliwa na mpenzi wake.
Jamani zile steps za kuvuana nguo zina raha yake na msisimko wa pekee...
Nikiona mitongozo ya siku hizi ilivyo rahisi naumia sana..!nakumbuka mi ilinichukua mwezi mzima just kumwambia demu nakupenda, ilikuwa kila nikimpanga basi tukifika eneo la mtongozo neno nakupenda...