moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,007
Wengi huwa wanasema nisipoolewa nae/ nisipomuoa atajisikiaje,kama humpendi ni bora umuache mana ukiingia kwenye ndoa sababu ya huruma tambua kabisa hilo ni bomu la utambi...Huruma isitumike kwenye kuoa/kuolewa