Msaada tafadhali; Nimepoteza kujiamini kupitiliza

Msaada tafadhali; Nimepoteza kujiamini kupitiliza

Tua Ngoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
3,368
Reaction score
8,882
Hello, hamjambo ndugu zangu
Nina umri wa miaka 26,kadri miaka inavyozidi kwenda ndivyo nami navyozidi kupoteza confidence ya kumface mtoto wa kike na kumueleza yanayonisibu.

Miaka ya nyuma Nlikuwa situmii nguvu kubwa sana kutongoza,nahisi sababu Nlikuwa naonekana smart and handsome (kipindi cha shule O,level na advance,na mara nyingi mabinti walikuwa wananifuata wenyewe) kama mnavyojua mambo ya shule miaka hiyo pesa ilikuwa siyo kipaumbele sana.

Sasa nilipo anza chuo, kidogo nikaanza kunenepa,jamaa zangu wakawa wananiponda kuwa nimenenepa sana,wadada wananiita bonge,basi hali hiyo ikawa inanipa tabu,taratibu nikaanza kupoteza kujiamini.

Nikamaliza chuo,kipato changu sio cha uhakika Japo napata,mwili wangu ndo umekuwa mkubwa balaa, yaani kitambi kama nimeficha kitu tumboni.

Nikiangalia wasichana walivyo,swaggs zao,watu wanaowataka,pesa ilivyo mbele naogopa kweli kuwasemesha,yaani kifupi nimekuwa domo zege.
Yaani hata kama sijamfahamu vizuri msichana Bado naogopa kumwambia chochote hata kuomba namba naogopa,hata mtu akinipa namba naogopa kupiga hata Katuma sms,nimekuwa muoga kila.za..

Kila nikijangalia mwili wangu na hali yangu ya kiuchumi nahisi kukataliwa tu,yaani huwa nawaza kuwa pesa sina,nguvu sina hata mkwara sina?.

Tafadhari kama kuna wataalamu humu au watu wanaopata the same experience tusaidiane ili nijue naondokana vipi na hali hii,YAANI HADI HAMU YA KULA INAKATA,NIKIANGALIA HILI TUMBO NA NAVYOKOSA HATA MTU WA KUNIPA IDEAS ZA MAISHA.

NNA MIAKA MIWILI SIJATONGOZA,SINA DEMU NAISHIA KUWAOTEA TU WA BAHATI MBAYA.NIMECHOOOOOKA.
 
Umeruhusu maisha yako yatawaliwe na watu wanaoishi maisha yao!?
C'mon man,
You only live once so please LIVE..

Acha kuwawazia watu mabaya juu yako mwenyewe...
Kumbuka law of attraction: you become what you think you are! So think positive..
 
Umeruhusu maisha yako yatawaliwe na watu wanaoishi maisha yao!?
C'mon man,
You only live once so please LIVE..

Acha kuwawazia watu mabaya juu yako mwenyewe...
Kumbuka law of attraction: you become what you think you are! So think positive..
Umenipa nguvu sana hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom