Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje...
13 Reactions
404 Replies
37K Views
Miaka 3 iliopita nimekuwa katika matatizo makubwa sana nawashwa sana ukeni, hospitali wanasema ni fungus, natumia dawa baada ya wiki tatizo linarudi pale pale, nimekuwa mtu wa kujikuna muda wote...
9 Reactions
123 Replies
32K Views
If you love two people at the same time.. Choose the second one because if you really loved the first one you wouldnt have fallen for the second. Source : Anonymous
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Rappers hawa majamaa huwa ni magenius,ukiachana na wao kuwadegrade wanawake (baadhi yao,japo baadhi ya wasichana wanapenda) lkn pia wana upande mwingine,yaani wakiamua kuwa romantic hawa wazeia...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za saa hivi wanaJF, Let me go straight to my point, mimi ni msichana single 25 this year, napenda sana kusafiri kuliko maelezo, yani for leisure na adventure kipato changu ni cha kawaida...
4 Reactions
77 Replies
7K Views
Matukio mabaya kuhusu ndoa yamekua mengi sana ambayo ni ya kufedhehesha na kudhalilisha. Najiuliza kuna watu wana matumaini ya kuishi kwenye ndoa bila kusalitiwa? Binafsi najua kusalitiwa kupo tu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu habari za mchana huu, Leo nimekutana na huu mjadala mahali ulionifanya nilete hilo swali hapo juu. Ni hivii, nimekutana na mtu siku za karibuni na kuanzisha urafiki wa kawaida tu. Sasa...
0 Reactions
41 Replies
13K Views
KWA TAARIFA YAKO: Jarida la Kisayansi la Lancet linaeleza kuwa wanaume hutumia wastani wa miezi 12 ya maisha yao kwa kuwaangalia wanawake.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
It's only in Tanzania ambapo mdada anajua exactly tarehe ya engagement yake, anashona nguo, anakwenda na saluni, halafu when the guy comes na shamrashamra zote siku ya tukio, akitoa pete...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
The feelings of love may be the same for both sexes but the stages of love are an entirely unique experience. Understand how men think and how men fall in love. When women fall in love, it’s...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hizi Ndio Faida 16 za Kufanya Mpenzi Kila Siku Stressed, burdened with life’s difficult problems and fear that your health is declining? Then s*x is the answer to happiness, longevity and a...
1 Reactions
74 Replies
16K Views
Habari wana JF mimi nina miezi yapata saba sasa tangu niwe mbali na mpenzi wangu na mpaka sasa sijafanya mapenzi ndani ya hiyo miezi niliyotaja ila napata wakati mgumu sana kwani nina ugwadu...
3 Reactions
67 Replies
26K Views
Kwa uzoefu wangu wanawake wengi ambao.unamtongoza na unakuta hana mtu kabisa wengi wanakuwa na matatizo ambayo hayavumiliki!! kwa kifupi huwa unakuwa mfupa uliowashinda wenzako!! Kama una hela...
7 Reactions
100 Replies
12K Views
Habari wamikoani Najua mnamengi ya kujua huku tanzania [Dar es salaam] wadada wazuri wanamuonekano upi na wake za watu wapo vip? Na pia mnahamu yakujua njia za kuwapata endapo ukija hapa mjini...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Nampenda sana huyu mpenzi wangu ila anachonifanyia ni kibaya na cha aibu. Nimegundua anatembea na dada angu na anajua kabisa ni dada angu ila dada hajui kama ni mpenzi wangu. Nimechanganyikiwa...
9 Reactions
69 Replies
9K Views
Baba yangu ana wake wengi tu wa kutosha japo ni mkristu, lakini kati ya hao wengi watatu tu ndo wanofahamika, ila amekuwa akipendelea sana nyumba ndogo kuliko familia yangu (mke wa ndoa) yani...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
NA Halfani Sudy Ilikuwa ni siku iliyoisha vizuri ndani ya Mji mdogo wa Kitalii Kilwa Masoko. Hakukuwa na taarifa yoyote kubwa ya kihalifu katika vitabu vya jeshi la Polisi ndani ya Kilwa Masoko...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwangu mimi mwanamke ni kiumbe mzuri anayehitaji uwe na akili kuishi naye, pia aliumbwa na Bwana kwa matumizi ya asili na sio vinginevyo (soma warumi 1:26). Japokuwa kuna wakati huwa tunakoseana...
4 Reactions
55 Replies
8K Views
Aisee Jana taarifa ya ITV kuna habari ya treni inayoelekea mikoani ikakwama huko njiani,abiria wakawa wanahojiwa,wengine wanalalamika wanaume,mwanmke mmoja akatoa maoni yake. "Hivi...
11 Reactions
90 Replies
11K Views
Enzi zetu kuwa na Girlfriend anayesoma shule ya Seminari ni shida....yaani mawasiliano yalikuwa Magumu sana.......Unakuta Juu ya Bahasha unabandika Picha ya YESU halafu ndani barua imechorwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…