Mwanaume huyu amenichosha

1. Jiulize kwanza una upungufu gani paka aende kwa Dada yako??? Unampa kila kitu?? Unamrishisha.

2. Kama ndio kutembea na Dada yako ni dharau kubwa saana kwako.

3. Leo katembea na Dada yako kesho atatembea na rafiki zako Wa karibu. Alafu utakuja kulia huku

4. Usitafute ugomvi na Dada yako, mwache kimya kimya, Fanya mambo yako

5. Umeumizwa na mwanaume mmoja unawachukia wote Huo ni utoto. Kaa tulia subiri utapata mwanaume ataetambua thaman yako.

Pole saana
 
Nampenda sana uyu mpz wangu ila anachonifanyia ni kibaya na cha aibu nimegundua anatembea na dada angu na anajua kabisa ni dada angu ila dada hajui kama ni mpz wangu nimechanganyikiwa naumia mno wanaume nimewachukia sana
hamia kwangu dear, hauta juta kamwe mamito, ila nitumie picha ya dada yako nisije kurudia kosa.
 
Sometimes sisi wanaume ni watu wabaya sana, ni wabinafsi sana.

Kuna mshikaji wangu ametembea karibu na ukoo mzima, sijui kwa nini, alianza na binti mdogo, akapitia dada zake na huyo binti wakubwa wawili.

Kisha akashika mama yao mdogo na hao mabinti mwisho akamalizia na shangazi yao.

Wanawake lazima muwe makini, kuwazoesha zoesha ndugu zako wa kike kwa mumeo ni kuwasogeza kwenye mdomo wa mamba.
 
Pole saana Dada,ushauri wangu kwako,
1.Tambua wanaume ulo nae ni Matamaa Oriented.
2.Anza upya coz umeshaona umeingia cha like.
3.Thinks are rarely as good or as bad as you think.
Ahsante
 
Back
Top Bottom