Baba yangu ana wake wengi tu wa kutosha japo ni mkristu, lakini kati ya hao wengi watatu tu ndo wanofahamika, ila amekuwa akipendelea sana nyumba ndogo kuliko familia yangu (mke wa ndoa) yani akija nyumbani ni kutufokea 24-7, hana zuri hata moja kwetu sisi, huyu mke wa pili kajengewa bonge la jumba maeneo ya Kange Tanga hilo jumba linaitwa white house.
Kanunuliwa mashamba in short yuko vizuri, sisi kuna nyumba tunakaa aliijenga yeye mwenyewe mzee mpaka sasa hatujui hiyo ni nyumba ya nani japo tunaishi, tukiimuliza anakuwa mkali sana mpaka tunatetemeka, some time anatutamkia kuwa vitu hivi nivya mke mdogo, hata sielewi tumfayaje maana kila kitu ni cha nyumba ndogo.
Some time anakudhihaki mtu unatamani umjibu vibaya, ila ndo hivo unapga moyo konde, nishaurini niseme nae kwa njia gani huyu mzee atuelewe sisi watoto wake/ na huyu bi mdogo nimfanye nini? Maana kama ni dawa huyu bi mdogo amezidisha, hatuna raha na baba hata kidogo.