Hii hutokea Tanzania tu!

Hii hutokea Tanzania tu!

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,726
It's only in Tanzania ambapo mdada anajua exactly tarehe ya engagement yake, anashona nguo, anakwenda na saluni, halafu when the guy comes na shamrashamra zote siku ya tukio, akitoa pete kumvalisha mdada huyo, she act SURPRISED! Kuna mmoja alizimia kabisaa wakati ni yeye ndite alitafuta sonara.

TUNAISHI KWA KUIGIZA!..

.
proposal-pf.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuna ma actor wengi Tanzania, script yote anaijuwa na pozi anaifanyia mazowezi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nmelifikiria hili jambo limenichekesha sana..!
 
Wavulana mkuu, sio wanaume
mh! sawa bwana. kwani hao wavulana sio wanaume!!!!! au unataka kunikumbusha Enzi niko JKT afande alikuwa anapenda kuita; WEEE KURUTA, MVULANA WA KIUME, KAKA, MWANAUME push up
 
Back
Top Bottom