Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

ulishatafakari na kuwaza ukiwa mtaani, shule, au chuo mwanamke mzuri mrembo mwenye makalio makubwa huwa hawadumu kwenye mahusiano au hata wakiolewa wanaachika? hivi ni tabia zao huwa mbaya? au...
1 Reactions
41 Replies
12K Views
Natamani kukuonesha zaidi ni kiasi gani maisha yako yatakuwa yenye furaha kuanzia siku ambayo nitafunga pingu za maisha nawe. Nimepanga uione kila dakika katika maisha yako ya ndoa, kuwa ni...
11 Reactions
144 Replies
10K Views
Biashara ya k mjini imedorora, namaanisha kuwa zaidi ya nusu ya wanawake wa mijini walikuwa wanaishi kwa kipato cha kuuza miili yao kwa namna iliyo rasmi au isiyo rasmi. Sasa baada ya wezi kukabwa...
21 Reactions
162 Replies
15K Views
Natumai nyote ni wazima wa afya kabisa na mnaendelea na majukumu yenu ya kawaida na kwa wale ambao pengine leo hamkuamka vizuri poleni na kwa wale ambao mmepotelewa na " Wapendwa " wenu namaanisha...
9 Reactions
66 Replies
12K Views
Habari za majukumu wapendwa? Wanawake wengi hawajui nafasi ya mume, hivyo kufanya mambo kiholela na kujikuta NDOA inaanza kuleta matatzo. Jinsi ya kumlinda mumeo: 1. MAPISHI Unapokua upo jikoni...
21 Reactions
236 Replies
27K Views
Wasifu wangu. Elimu:nina shahada ya kwanza, umri wangu miaka 29. Nahitaji msichana kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea. Sichagui dini wala kabila wala kiwango cha elimu,muhimu awe na mapenzi ya...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Kama unafanya kazi na "Kipato chako kinaishia kwenye chakula na malazi, kiuhalisia kazi unayofanya inakuwa si fursa ya maendeleo, bali juhudi za kubaki hai ambazo ni fursa ya maendeleo kwa muajiri...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sifa ya mwanaume kujituma, kutafuta pesa na kujipanga. Hivi unakuta kijana umri unaenda bado anategemea kwa wazazi msosi ni hotpot family huyu ni hasara. Kuna mwanaume mpaka anaoa bado yupo kwa...
19 Reactions
198 Replies
17K Views
Kamwene... Kumekuwa na wingi wa wanawake wakilalamika kwamba wanaume hawatoi matunzo kwa wanawake wao..na kama wanatoa ni kidogo tu..haitoshi..vivyo hivyo wanaume wanalalamika kupigwa vizinga sana...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwishoni mwa mwaka jana nilialikwa katika kipindi fulani kilichokuwa kikirushwa na kituo kimoja cha redio hapa nchini. mojawapo ya mada tulizozungumzia ilikuwa ni athari za kukandamiza ngono...
12 Reactions
55 Replies
41K Views
Heshima kwenu wana JF, Miaka mitatu iliyopita tulihitaji kuwa na msaidizi wa kazi za ndani baada ya mke wangu kujifungua, wakati tukiwa kwenye mchakato wa kumpata, dada yake mke wangu...
33 Reactions
144 Replies
14K Views
Jf oyeee...(Kwa jinsi JF inavopingwa siku hizi hadi bungení na wakuda mtalazimika tu kusema oyeee) Naam kwa mara nyingine tena kama ilivo kawaida ya vichwa makini vya JF nimeuleta huu uzi ili...
2 Reactions
49 Replies
7K Views
Heshima kwenu wakuu, Nimekuwa nikisumbuliwa na kasumba moja ili mbaya sana, maana kila mwanamke mwenye kuweza kutimiza haja zangu kila nikimtongoza lazima anikatae. Kwa mda sasa nimekuwa...
12 Reactions
260 Replies
25K Views
Habari wakuu natafuta mwanamke wa kuoa sichagui kabila awe na miaka 26+ mweupe dini mkristo awe anaishi dar es salaam aliyetayari karibu pm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, nafanya kazi Sirari mkoa wa Mara. Natafuta mchumba wa kuoa hata kesho,awe na umri wa miaka 18-25 ila sijatahiriwa. Aliyetayari ani pm tupeane...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
raha jipe mwenyewe wanaume tunawaonea tu usawa huu wa magufuli leo nimepata mshahara wanasema tumia pesa ikuzoee nataka leo nikae mahali nipige msosi wa maana nimechoka kujipikia makande huku...
7 Reactions
80 Replies
9K Views
Mambo vipi wadau, Mwenzenu yamenifika shingoni! Binti tumehaidiana nimalize chuo niweke ndani, leo ananipa habari kuna mchumb kaja kwao, ukicheck life yangu bado sana. Nachoka. Nimeumia sana.
7 Reactions
68 Replies
5K Views
Mwanamke akili zake ni kama mtoto mdogo. Mtoto ukimzoesha kumtuma dukani chenchi unamwachia, siku usipompa chenchi haendi tena. Mwanamke yupo hivyo hivyo, mwanamke hata akiwa na degree mia moja...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Kumekuwa na Ongezeko kubwa sana la wanawake kungiliwa kinyume na maumbile Mchezo ambao sio tuu kwamba ni hatari sana kwa Afya but pia si mpango wa Mungu watu kufanya uchafu huo,kwa faida ya...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Nimechoshwa Na Upweke, Nimechoka Kutapeliwa, Naomba Nifunguke Kwako Juu Ya Moyo Wangu Japo Sina Mali Japo Sina Mahari Na Sijapata Mpenzi. Kuhusu Maisha Yangu... Mimi Sina Ajira Yoyote Zaidi Ya...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…