Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanamke (mke) tambua wajibu wako na nafasi yako ndani ya nyumba ili kuepusha migogoro isiyo na maana. Iko hivi, mwanamke (mke) ni msaidizi wa mwanaume (mume) pia ndo mshauri mkuu wa mume. Mume...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Mimi kuna siku nilikua zangu katika kibarua cha wiki mbili ndo hapo job sasa alitokea mwanamke akawa anakuja kuwasalimia majirani zake kila siku na mimi pia alikua ananisalimia, sasa katika kupiga...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Anjelina Jolie sasa kimemtema na kuvuta mwingine, jamaa mpya nasikia alikuwa anakula Anjelina Jolie tangu miezi 6 iliyopita, sasa nimeamini nilichokuwa naamini siku zote kama Demu akikutema halafu...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Eti hakuna awali mbaya. Nimekaa na mwanamke miaka 12. Nilimuacha mwaka juzi kwa sababu alinipakazia mtoto si wangu. Sasa anataka turudiane akidai hakuna awali mbaya. Niko njia panda.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za Leo Waungwana! Nyumbani kwetu tumejiwa na mgeni ambae ni Baba mdogo wa mume wangu. Atakuwa kwetu kama 15 days. Amekuja medical na mkewe na watoto wa3. Tangu wamekuja leo ni siku ya 4...
23 Reactions
419 Replies
28K Views
JINSI YA KUMKALISHA MWANAUME WAKO HOME WEEKEND Siku hizi wa naume licha ya kukimbia nyumba zao kwa kisingizio cha kazi maajabu weekend hasa Jumamosi utasikia wanaaga nafika hapo njiani naja...
9 Reactions
62 Replies
8K Views
Wataalamu nchini Ufaransa wamesema kwamba, hatimaye wamebaini, sehemu ya ubongo inayowapeleka watu puta wanapompenda mtu kimapenzi na kuwa kama vichaa. Wamesema eneo la ubongo linalofahamika kama...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu,kuna kautafiti nimekafanya kisiri siri kujua mikoa yenye wanawake wanaojua kukarangiza misosi,na haya ndio majibu ya utafiti wangu 1.Tanga 2.Zanzibar 3.Tabora 4.Dar 5.Pwani 6.Singida 7.Morogoro
18 Reactions
197 Replies
30K Views
Kama kichwa cha habari kilivyo mke wangu anakataa kunipa tendo la ndoa bado sababu sijaijua ila kuna maongezi fulani niliyakumbushia ambayo yalishapita hapo zamani sasa sijui hiyo ndiyo sababu...
0 Reactions
60 Replies
8K Views
Nimekua nikifatilia visa kibao vya mapenzi kwa mda mrefu na hiko ndicho nilichokigundua. Unaweza kumdharau/kumchukulie poa/easy mwanaume au mwanamke lakini amini usiamini mwisho wa siku anaweza...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari, ni ivi tukubali tukatae,wanawake wengi tena kwa asilimia kubwa hawafiki mwisho wakiwa wanaduu na wapenz wao.kuekti kwingi ili kuwafurahisha wenzao au ili mwanaume akojoe haraka kwa sababu...
14 Reactions
197 Replies
24K Views
Nimewaza sana katika dunia hii ya leo na sula la mahusiano.Kuna jamii moja hapa duniani maeneo ya Alaska USA na pia Siberia wanafahamika kama Waeskimo. Hawa ni wenyeji wa maeneo hayo sehemu zenye...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Hoja yangu inawalenga wadada wa umri flani hivi ambao mara nyingi unakuta hawajaolewa ,wamama watu wazima hawapo kwenye kundi hili. Kutokana na kautafiti kadogo niliko kafanya nimekuja kugundua...
5 Reactions
70 Replies
7K Views
Habari wakuu Bila kupoteza mda nimekaa na kufikiria namna mapenz ya wasichana na watu wazima yanavyoshika kasi nikawaza hivi ulishawahi kuujua mchepuko wa mshua wako? Ulipata reaction gani...
10 Reactions
125 Replies
10K Views
Hi! Wadada wengi huogopa kuolewa na wanaume wa kikurya kwa kuhofia kichapo.Ila ukweli ni kwamba kwa sasa wakurya wengi wamesoma sana na wengi wao wanamjua Mungu hivyo wanajua kumhandle mke na...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu heshima kwenu! Imekuwa mda sijapost kitu chochote hapa MMU sasa leo nipo na mda nimeona nianzishe thread tuelezane tuliyojifunza kwenye hili jukwaa letu pendwa toka mwaka 2016 umeanza...
3 Reactions
93 Replies
6K Views
Usiyoyajua kuhusu wanawake!! "A lot about Women " 1. KUHUSU TAMAA ZAO. -Mwanamke yeyote anaweza kukutamani kimapenzi isipokuwa Mama yako. 2. KUHUSU HULKA ZAO. -Wanawake wote huonesha upendo wao...
6 Reactions
20 Replies
5K Views
Mabwana na mabibi bila shaka mko poa muda huu, wenye uchovu wa pilikapilika poleni na hongereni pia. Katika hoja yetu ya leo nitakua na mwanakaka huyu aliekuja mjini na gari ya mkaa na nitapenda...
6 Reactions
137 Replies
20K Views
Hebu tupeane uzoefu katika mapenzi yanapotokea maneno kama hawa huwa unajisikiaje. Huwa unayapokeaje? Baby nina mimba yako siku zangu sizioni.
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Binadamu bana! Watu wakiwa kwenye lindi la mapenzi huwa wanaonana wazuri sana. Unakuta labda mdada anamsifia sana jamaa alivyo mzuri. Anakuwa na majigambo ya hapa na pale. Kwamba hataki wadada...
12 Reactions
121 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…