Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukiwa na mwanamke kila siku wewe tu anakuomba pesa huku na yeye anafanya kazi mimi kwangu naona ni kipaji maana hata mtu akiwa anakopa sana kwako unafika mahali unamchoka sembuse mwanamke...
8 Reactions
365 Replies
22K Views
Wasifu wangu; Age 30,Elimu chuo kikuu, kazi - nimeajiriwa, nipo Dar, Sifa za mchumba wa kike Age 22 and above. Sina ubaguzi wa kabila, dini , etc. Cha msingi upendo wa dhati. Njoo PM mchumba...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Jumatatu imeanza na vituko vyake. kazini kuna dada mgeni kaajiriwa mwezi wa pili sasa. jamaa wawili wameshatembea naye. last week wakiwa wanakula inasemekena wakawa wanabishana kuwa nani kweli...
7 Reactions
144 Replies
18K Views
Salaam!! Nimekuwa nikiona jambo hili katika baadhi ya familia. Unakuta Mke, kama ilivyo ada, akiamka asubuhi lazima amuamkie mume wake "Shikamoo mume wangu. Au Shikamoo baba fulani etc" Na pia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dear married women, even when you're tired, be sensitive to your man's bedly needs. You can do all things through Christ who strengthens you
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mara kadhaa tumesikia wachezaji wakisakamwa na baadhi ya viongozi wakati mwingine mashabiki wao kwamba wanafanya mapenzi mara kwa mara kitu ambacho kinapelekea kuporomoka kwa viwango vyao...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
kuna umri flani hivi mtu akifanya vitu watu humchukulia mybe kwa sababu ya umri wake ila unakuta mwanaume mtu mzima kabisa yupo kijiweni anatoa stori mambo ya faragha ya mpenzi wake au ya mke...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Vijana wengi wanatamani kuoa na wasichana wengi wanatamani kuolewa. Mimi ni miongoni mwa vijana wanaojiandaa kuoa na hivyo niko katika kipindi cha kuyatafakari maisha ya ndoa. Jambo moja ambalo...
9 Reactions
153 Replies
19K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 urefu1.8 meter na ni maji ya kunde pia ni mwajiriwa serikalini, natafuta mke wa kuanza nae maisha mwenye umri kati ya miaka 20-25, dini yoyote ile awe mzuri wa kuvutia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Binadamu ndivyo walivyo, pale unaposema nampenda sana mwenzangu na ukamwonyesha mapenzi mazito mazito ndipo atakapokutenda bila kujali maumivu utakayoyapata. Hali hii inaweza kumtokea mtu bila...
7 Reactions
30 Replies
12K Views
Nawasabahi wanajf wote! Sina shaka mnaendelea vyema kama sivyo pole, chukulia ni kawaida kwa maisha ya wanadamu hapa dunia.Turudi kwenye mada, katika kutafuta wenza wengi tumekuwa na preference...
0 Reactions
65 Replies
11K Views
Natafuta Marafiki wa kike wa kuchat nao aliyeko intrested ani cheki Pm
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi nipende kuwauliza maswali haya machache 1.Mnapata raha gani? 2.Hamjui ya kuwa ni sehemu ya kutolea uchafu 3.Hivi mnapofanya hivyo si ni sawa na kula kinyesi cha huyo mwenzio? 4.Hiyo tendo...
2 Reactions
104 Replies
26K Views
Anaomba msaada wenu! ********************** He has a big problem with his studies. He is not able to do well in his exams. He scores less and many times he think about girls, sex and he do...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Kutokana na ugumu wa maisha nimejiwekea mpango wa kuwa na mpenzi lakini sitaki serious relationship na huwa nakuwa muwazi siku zote kwa wadada kwamba mimi sitaki serious relationship lakini after...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu salaam kwenu, Hizi ni miongoni mwa tabia ambazo zimekuwa zikiendekezwa na baadhi ya wanaume. 1: Mwanaume unahonga hela kwa mbwembwe zote hili uonekane kidume tena wengine utakuta binti...
7 Reactions
43 Replies
5K Views
NI NJEMA KWAKO ISOME Katika maisha hakuna jambo gumu kama kusamehe na hakuna kitu chenye faida kama kusamehe. Kuna watu katika maisha wapo ili tuumie na TUJIFUNZE. Wengine wapo ili tukisha umia...
6 Reactions
24 Replies
6K Views
DONGO............ Kipindi utakapokubali kutoka kimapenzi na mume wa mtu, utakuwa umekubali kuwa mwanamke wa daraja la pili, na siku zote mtu wa daraja la pili ni wa chini ukilinganisha na daraja...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Kama tujuavyo Mwanaume aliye ' rijali ' kabisa kutongoza au kumtongoza Mwanamke yoyote yule apitaye mbele yake ni ' sunna ' na si kitu cha kushangaa au kuanza kujiuliza maswali mengi na ukiona...
9 Reactions
55 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…