Ni sahihi mke/mume kumuamkia mwenzi wake?

kikaniki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
508
Reaction score
979
Salaam!!

Nimekuwa nikiona jambo hili katika baadhi ya familia. Unakuta Mke, kama ilivyo ada, akiamka asubuhi lazima amuamkie mume wake "Shikamoo mume wangu. Au Shikamoo baba fulani etc"

Na pia nimewahi kuona mara moja, mume akimuamkia mkewe.

Lakini pia, mimi wakati naoa, bibi wa mke wangu alimwambia mke wangu, "uwe unamuamkia mumeo". Ingawa hajawahi kutekeleza. Mke wangu nimemzidi miaka 7

Hoja/swali langu: Ni sahihi wapenzi/wanandoa kuamkiana??
 
ni sahihi sana...mimi huamkiwa kila siku na wife
 
Inategemea na makuzi, mila na mafundisho ya jamii mtu aliyotoka.

Mimi kwetu, baba ana wake watatu. Wote wakiamka asubuhi lazima wamuamkie. SHIKAMOO MME"
 
Ni sahihi ingawa simuamkii sijzaoea na kingine labda na malezi sikuwahi kuona baba anaamkiwa na mama
 
Back
Top Bottom