Si umeshindwa kunisahau basi ntakusaidia unisahau?

Ibn arab

Member
Joined
May 10, 2016
Posts
83
Reaction score
85
Habar za jioni ,
kama ilivyoada nimekuja tena , hapa na kisa hiki, Tafadhalini msinichoke ndugu zangu ni katika kupeana tu mauzoefu mbali mbali ambayo kama mwanadamu huwa unapitia , na huwenda ikawa ni funzo kwa wengine.
kama Nilivyotanguliza kichw cha habar hapo juu kinachosema "Si umeshindwa kunisahau basi ntakusaidia unisahau"Kauli hii niliambiwa na bint mmoja , ambaye binafsi nilitokea kumpenda kutokana na ukarimu wake na the way alivyokuwa ananijali na kunithamini, nikajikuta nazama katika penzi la uyu binti bila kujijua, nakuja kutahamaki nilishazama mzima mzima kutoka nikawa nashindwa.
Labda ni kupe dondoo tu za hapo nyuma , Huyu bint ni katika mabint ambao wanajielewa Tulijuana zamani ila hatukuwa na ukaribu kiivyo, kutokana na kuhofia nisingeweza mhandle uyu bint , kutokana na mazingira yake nikajua fika tu hata kama ningemtokea basi ningeambulia matusi kejeli na kashfa, ikabidi mtu mzima niukanye moyo na kuuwambia moyo tulia mjini kuna vya watu,
Uvumilivu wangu ulinisaidia kuna siku bint akiwa nje ya nchi alipost picha kwenye mtandao nikalike baadae akanitext kwa namba ya nje basi tukasalimiana na akajitambulisha yeye ni flani , hatukuendelea na stor maana hatukua tumezoeana kiivyo , nikajaribu omba ushauri juu ya kunitafta uyo bint kwa baadhi ya marafiki wakaniambia tulia kama anakuhitaji akakutafta,
mtu mzima nikakaza tena roho siku zikaenda , miezi ikakata ikatokea siku akanicheki ili ni muunge kwenye group flani ambalo mimi ndo nilikuwa admini, basi kuna siku kukawa na mada flani watu wakachangia naye akachangia lakini akaniambia naomba nikupigie nikueleweshe kitu nikamwambia sawa akanical
Tuliongea sana tukapiga stor sana zaidi ya masaa matatu , ikaja sasa ikawa mazoea kila siku akawa ananipigia tunaongea sana hata masaa manne, mpaka nikajikuta ananijaa moyoni kutokana na ukaribu,
ikafika mahali akawa ananifata maskani tunakwenda kutembea sehemu mbali mbali , nikashindwa jizuia ikabidi ni mueleze hisia zangu, akawa mgumu kunielewa , ila nikajipa moyo kuwa jambo zuri linahitaji uvumilivu kwa maana linaenda taratibu,
Nikavumilia vitimbi na visa vya uyu bint kwa kujua hawezi kuwa rahisi rahisi kiivyo cha muhimu ni kuendelea kuwa mvumilivu , lakini ilifika mahali alionyesha nia ya kuwa na mimi na wakat mwingine ilipotea,
Ikaja siku Tulitakiwa tuonane mimi na yeye nilinusurika ajali mbaya ambayo kama si kwa uwezo wa mungu basi ningepoteza maisha na uku yeye alikuwa ananitafta asijue kilichonipata baadae nilivyotoka eneo la tukio nikamtafta na kumueleza kilichonitokea, naye akanipa mkaza wake maana alikuwa ana plan anifanyie suprise ili aje,
Nikamwambia uwezi jua mungu ametuepusha nini cha msingi tukae tutulie tukapanga siku inayofata tuonane, na kweli ilipofika jioni alinifata na tukatoka na kwenda beach na huwa tukitoka basi tukiwa njiani huwa namazoea ya kumtania na kumshika shika , uku tukifrahi,
Ajabu siku iyo tukiwa njiani nilimshika akamindi na akaniambia hutoniona tena , nikajaribu kum'bembeleza sana ila hakukubali tukaachana , nikatumia kama wiki kumuomba msamaha akakataa, hatimae akaniblock whatsapp kitu ambacho kiliniuma sana na kukata tamaa nikajaribu kuwa mvumilivu huwenda labda ni hasira , nikawa nikimpigia simu hapokei, ila akiwa nashida akinipigia napokea,
siku miezi ikapita nikajaribu kumtafta labda atakuwa hasira zimeisha hakupokea baadae akanitumia sms sihitaji ukaribu na wewe labda unipigie simu kuna msiba lakini vinginevyo staki mawasiliano nawe,
baada ya kuniambia ivyo ilibidi mtu mzima nijiongeze nikaona kama jitihada nimejitahidi sana na subra nimefanya sana naona huwenda mungu hakupanga ikabidi nifute namba yake ili niweze kumsahau, haikuwa kazi rahisi kwangu ila nilistahamili sana ,
kuna wakat machozi yalinitoka nikikumbuka tulivyokuwa tunaspend pamoja akinifata popote nilopo , nilikaza roho maana nikikumbuka ile kauli yake" Si unashindwa kunisahau basi ntakusaidia unisahau"
Niliumia sana nikajiona sina bahati sina thamani ni mtu niliyedharaulika , kwa kweli niliona dunia chungu , kuishi bila yeye kila kitu kilikuwa kigumu kwangu ila nikakaza moyo, nikasema umaskini umeniponza cha msingi nitafte tu pesa maana kwenye pesa kila kitu kinakuja,
Nimeandika uzi huu ni kuwausia vijana wenzangu kuwa mapenzi haya lazimishwi na kikubwa pesa tu katika maisha haya , huwa naumia sana. napomuona kijana wakiume ana abudu mapenzi anaacha kutafta pesa , au analizwa na mapenzi au anataka kujiuwa kwa ajili ya mapenzi,
Hakuna asopitia misuko suko ya mapenzi ima kuachwa au kutorokwa na mengineyo , kila mtu anamkasa wake katika maisha , ili ufike unapotaka lazima upite usipokutaka, Tutafte hela jaman mapenzi hayana mwenyewe........

Yangu ni hayo tu jamani
 
Daah kama gari moshi?
 
********** wewe

OYA Ibn Arab eeee....
Huyu mshikaji kakutukana hapa....
Nimehesabu idadi ya nyota nyota hizo nadhan kasema
"maninazako wewe "

Hehehehe.... Mwana mrudishie na wewe..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
hivi *********** ni tusi ?
 
du
 
niharibu uzi wako nisiharibu?
 
OYA Ibn Arab eeee....
Huyu mshikaji kakutukana hapa....
Nimehesabu idadi ya nyota nyota hizo nadhan kasema
"maninazako wewe "

Hehehehe.... Mwana mrudishie na wewe..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Acha kumsaksia mwenzako
 
Back
Top Bottom