Wanawake wanaudhi sana, unamwita mkale bata anaomba na nauli!

wamkodowenye

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
261
290
hawa viumbe sijui washatuona sisi wanaume kama mazombi yaani Dem unamwita sehemu pa nauli haifiki hata buku 2 anakuambia nitumie nauli hii yote ni asitumie tuu ela yake hivi anakuja umpe nauli aje anywe, ale, bado mkapigane vita na zaidi apa yeye ndiye anasikia utamu zaidi alafu bado umtoe ela wanaita ya sabuni bado akuambie nauli ya kurudi daa yaani mapenzi sasa yamekua kama Huna ela hupigi Mjengo sasa hii yote hawa viumbe wamekua hawataki kutumia ela yao kwenye starehe sasa kwa nini wasiliwe visewa tuu?
 
Interesting....wanawake wa Dar
cc Nyani Ngabu

Wengine ukimwambia aje sehemu fulani ama anakuja na bajaji au teksi lakini unalipia wewe.

Wanawake wa Dar wanaendekeza sana njaa:D:D:D.

Halafu sasa hivi naona wame evolve.

Hawapigi mizinga ya hela tu.

Wakikuona una vitu vizuri kama saa, raba, begi la mgongoni, kapelo, au hata kama unanukia unyunyu mzuri basi watakuomba.

'Ngabu naomba saa yako'....'Ngabu begi lako la mgongoni zuri..niachie basi'....'Ngabu zawadi yangu iko wapi?'....

Good grief!
 
Halafu wanaongea kabisa na mwenye bajaj au taxi

Anakuja na daladala hadi karibu na eneo la tukio
ndo anachukua taxi au bajaj..utalipa elfu 15 kumbe ni elfu 2..tu....
hahaa ....na usikute ni bodaboda wake wa misele yake yoote...
wanaenda kuelewana mbele
 
Mi huwa nakerekaa unagharamia vyoootee afu baada ya kugegeda unajutaa kumfahamuu
Uzito tunaoupa papuchi ni mkubwa kuliko hali halisi ukiwa nayooo
Papuchi sii chochoteeee

Right on the money.

That thing is so overrated.
 
hawa viumbe sijui washatuona sisi wanaume kama mazombi yaani Dem unamwita sehemu pa nauli haifiki hata buku 2 anakuambia nitumie nauli hii yote ni asitumie tuu ela yake hivi anakuja umpe nauli aje anywe, ale, bado mkapigane vita na zaidi apa yeye ndiye anasikia utamu zaidi alafu bado umtoe ela wanaita ya sabuni bado akuambie nauli ya kurudi daa yaani mapenzi sasa yamekua kama Huna ela hupigi Mjengo sasa hii yote hawa viumbe wamekua hawataki kutumia ela yao kwenye starehe sasa kwa nini wasiliwe visewa tuu?
Sasa wewe si ndio umemuita?! Acha kutuchosha .
 
Halafu wanaongea kabisa na mwenye bajaj au taxi

Anakuja na daladala hadi karibu na eneo la tukio
ndo anachukua taxi au bajaj..utalipa elfu 15 kumbe ni elfu 2..tu....
hahaa ....na usikute ni bodaboda wake wa misele yake yoote...
wanaenda kuelewana mbele

Duh!

Kuna siku moja hivi nilikuwa Mbalamwezi.

Nikamualika Bela aje.

Si akaja na mwendesha bajaji mshikaji wake.

Jamaa nikampa buku tano.

Ila nilihisi huenda hiyo 5,000 walienda kugawana baadaye maana wanajuana.

Halafu kumbe ushastukia kuwa hawa wadada huwa wana waendesha bodaboda, bajaji, na teksi wanaowatumiaga mara kwa mara eh?

Hahahaaaa
 
haaaa mkuu iyo kali
 
Hahaa why ulihisi elfu 5 wameenda kugawana....
nimecheka kwa sauti
 
Halafu wanaongea kabisa na mwenye bajaj au taxi

Anakuja na daladala hadi karibu na eneo la tukio
ndo anachukua taxi au bajaj..utalipa elfu 15 kumbe ni elfu 2..tu....
hahaa ....na usikute ni bodaboda wake wa misele yake yoote...
wanaenda kuelewana mbele
ahahaaa si ufate mwenyewe?
 
Mtumie uone atakachokujibu! Atamwambia naoga, baadae Sana ukiuliza tena Atamwambia Navaa baada ya nusu Saa anakutumia text kuwa hataweza amepata mgeni! Dogo huna saikolojia ya kuwaelewa hawa watu? Akisema tu tuma nauli ujue hamna kitu hapo, ilitakiwa aje ndio ulipie Wewe. Kuwa na akili dogo otherwise utasubiri hadi simu itafungwa, kesho anakwambia sorry simu iliisha chaji
 
Back
Top Bottom