Ukiona umepata shida jua kuna neema mbeleni

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,786
Reaction score
3,067
Mimi kuna mwanamke nilitokea kumzimia kipindi fulani kutokana na mitego yake na mienendo yake ndo ivo mimi nikawa nimeshadata nikaanza yangu baada ya mda nilipigwa chini kama Gaddafi alivyopigwa shaba mara moja na akatangulia mbele ya haki.

Mara ya kwanza sikuami nilidhani ni mambo yetu yale ya wanawake kumbe ndio hivyo nishapigwa chini. Sikuamini kwani mwanamke mwenyewe anadai ana hofu na Mungu sana sasa mtu mzima kichwa kika vimba nikaona kama dunia ni yangu na yeye.

Yani hata papuchi sikupewa wala kuipapasa.Ila kuna kitu nilijifunza kuwa sio kila anaelitaja jina la Mungu ni mwema bali ni wanafiki na wasanii tuu wa mjini na kijijini. Pia kuna mlokole sikuamini anabanjuliwa back.

MWISHO UKIONA HUFANIKIWI KWENYE NGONO JUA MUNGU KWA UPOLE NA WEMA WAKE ANAKUEPUSHA NA MENGI. LEO HII HUYU ALIENIUMIZA NASIKIA KESHA UKWAA SAIVI ANAMALIZA WATU KAMA MAJI.

NATAMANI NIWAOKOE WANAUME WENZANGU ILA SINA HUO UWEZO KWANI TUNAISHI SEHEMU TOFAUTI ILA NAOMBA MUNGU AWALINDE KAMA ALIVYONILINDA MIMI.
 
Mimi kuna mwanamke nilitokea kumzimia kipindi fulani kutokana na mitego yake na mienendo yake ndo ivo mimi nikawa nimeshadata nikaanza yangu baada ya mda nilipigwa chini kama gaddafi alivyopigwa shaba mara moja na akatangulia mbele ya haki.

Mara ya kwanza sikuami nilidhani ni mambo yetu yale ya wanawake kumbe ndio hivyo nishapigwa chini. Sikuamini kwani mwanamke mwenyewe anadai ana hofu na Mungu sana sasa mtu mzima kichwa kika viiiiimba nikaona kama dunia ni yangu na yeye.

Yani hata papuchi sikupewa wala kuipapasa.
Ila kuna kitu nilijifunza kuwa sio kila anaelitaja jina la Mungu ni mwema bali ni wanafiki na wasanii tuu wa mjini na kijijini. Pia kuna mlokole sikuamini anabanjuliwa back.

MWISHO UKIONA HUFANIKIWI KWENYE NGONO JUA MUNGU KWA UPOLE NA WEMA WAKE ANAKUEPUSHA NA MENGI. LEO HII HUYU ALIENIUMIZA NASKIA KESHA UKWAA SAIVI ANAMALIZA WATU KAMA MAJI.

Natamani Fulani apite hapa aone maana inamuhusu, niliwahi kumshauri ukiona unaepushwa kufanya jambo Fulani using'ang'anie acha lipite akajidai ata fight hadi aone mwisho
 
mkuu mimi na raha mno manaake huyu mwanamke alijikuta mjanja sana ila saivi analia moyoni tuu huko aliko. kani cost sana mkuu. Unajua ni bora uumie private na sio mbele za watu kwa sababu kila unaekutana nae anakuangalia kwa huruma so maumivu yanazidi.
 
Natamani Fulani apite hapa aone maana inamuhusu, niliwahi kumshauri ukiona unaepushwa kufanya jambo Fulani using'ang'anie acha lipite akajidai ata fight hadi aone mwisho
Acha unaaa mkuu
 
Mimi kuna mwanamke nilitokea kumzimia kipindi fulani kutokana na mitego yake na mienendo yake ndo ivo mimi nikawa nimeshadata nikaanza yangu baada ya mda nilipigwa chini kama gaddafi alivyopigwa shaba mara moja na akatangulia mbele ya haki.

Mara ya kwanza sikuami nilidhani ni mambo yetu yale ya wanawake kumbe ndio hivyo nishapigwa chini. Sikuamini kwani mwanamke mwenyewe anadai ana hofu na Mungu sana sasa mtu mzima kichwa kika viiiiimba nikaona kama dunia ni yangu na yeye.

Yani hata papuchi sikupewa wala kuipapasa.
Ila kuna kitu nilijifunza kuwa sio kila anaelitaja jina la Mungu ni mwema bali ni wanafiki na wasanii tuu wa mjini na kijijini. Pia kuna mlokole sikuamini anabanjuliwa back.

MWISHO UKIONA HUFANIKIWI KWENYE NGONO JUA MUNGU KWA UPOLE NA WEMA WAKE ANAKUEPUSHA NA MENGI. LEO HII HUYU ALIENIUMIZA NASKIA KESHA UKWAA SAIVI ANAMALIZA WATU KAMA MAJI.

NATAMANI NIWAOKOE WANAUME WENZANGU ILA SINA HUO UWEZO KWANI TUNAISHI SEHEMU TOFAUTI ILA NAOMBA MUNGU AWALINDE KAMA ALIVYONILINDA MIMI.
Ulosema ni zuri sana.

Hebu tupe feedback yako

Ulishapata mwingine mwenye hofu ya Mungu?

Yangu ni hayo tu
 
Nimeona wanafiki wengi mkuu leo hii utakikuta kinakumbatia biblia ukimpiga mbuzi kagoma kule nyuma kumepwaya sasa mambo gani hayo. Bora mtu uwe wa kawaida tuu na uwaheshimu wenzio kuliko kuwadharau wamepotoka wakati na wewe ni mle mle
Ulishapata?
 
Back
Top Bottom