Kwanini watu huoa na kuolewa?

Kwanini watu huoa na kuolewa?

LAMBOFGOD

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2016
Posts
1,561
Reaction score
1,320
Wana jf naomba kujuzwa sababu hasa inayotufanya kuoa/kuolewa au kwa wale walio kwenye ndoa kwa nini umeoa/kuolewa?, mimi ni kijana mwenzenu ambaye nipo katika mchakato wa kutafuta mwenza, lakini kutokana na mabandiko kadha wakadha hapa jf inaonesha ndani ya ndoa kuna misigishano mingi mno inayopelekea watu kuchit, kulea watoto wasio wao pia wakati mwingine na mengine mengi sasa ule upendo ninaousikia huwa umeenda wapi?

Kwa hali ya kawaida mtu unaweza fikiri nina matatizo kuleta uzi huu ila kuna watu wameoa/kuolewa wasijue kwa nini walifikia maamuzi hayo? (kuoa/kuolewa) kama umeoa/kuolewa naomba sababu ya:-

i) Kwanini umeoa? Kwanini unafikiri kuoa?

ii) Kwanini umeolewa? Kwanini unafikiri kuolewa?

Tafadhali fikiri kabla ya kujibu then unisaidie kwa namna ya kunijenga na siyo kunibomoa ili vijana wengine wafaidike pia.

1069268_623937874304042_1649423566_n.jpg
 
hayo ni mambo ya asili ndo maana MUNGU alipomuumba ADAM akaona ADAM atakuwa ajakamilika bila kupata msaidizi hivyo MUNGU alimuumba HAWA ili asaidiane majukumu na ADAM...hivyo mtu anaoa au kuolewa ili tu apate mwenza wa kusaidiana nae katika maisha.
 
UMJUE MZAZI MWENZIO PAMOJA NA KOO ZAO ILI WATOTO WENU WAJUANE WAEPUKE KUZANA WAO KWA WAO.
 
Wengine umri wa kuoa umefika na uwezo wanao sasa hawana sababu zilizo wafanya wasioe hivo wakaamua tu waoe,
 
Binafs naweza sema kuoa au kuolewa ni automatic feelings /natural,baina y mme/ke,
Mahusiano yanapokua matamu zaid wawil nyie mnatamani mfike mbli zaid,kama mlikua mnabanwa home muanzw kua huru,mpange maish yenu etc .Hyo ndio sbb watu wanaamua kuoa /kuolewa
 
Kuoa au kuolewa ni mpango wa Mungu, ndoa ni paradiso ambayo Mungu alimwandalia mwanadamu

Lakini Shetani kaigeuza kuwa jehanamu, waliomo wanatamani kutoka, walio nje wanatamani kuingia. KARIBU JEHANAMU UPATE JOTO[emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Unaoa ili kuwa na familia yako, mke/mume na watoto kisha maisha na maendeleo. Vile vile unaendeleza ukoo wako
 
Kuoa au kuolewa ni mpango wa Mungu, ndoa ni paradiso ambayo Mungu alimwandalia mwanadamu

Lakini Shetani kaigeuza kuwa jehanamu, waliomo wanatamani kutoka, walio nje wanatamani kuingia. KARIBU JEHANAMU UPATE JOTO[emoji45] [emoji45] [emoji45]

mtume Paulo anatuambia "ikiwezekana muwe kama mimi" vilevile kuna matoashi je kwa nn kuoa/kuolewa
 
Wana jf naomba kujuzwa sababu hasa inayotufanya kuoa/kuolewa au kwa wale walio kwenye ndoa kwa nini umeoa/kuolewa?, mimi ni kijana mwenzenu ambaye nipo katika mchakato wa kutafuta mwenza, lakini kutokana na mabandiko kadha wakadha hapa jf inaonesha ndani ya ndoa kuna misigishano mingi mno inayopelekea watu kuchit, kulea watoto wasio wao pia wakati mwingine na mengine mengi sasa ule upendo naousikia huwa umeenda wapi?

Kwa hali ya kawaida mtu unaweza fikiri nina matatizo kuleta uzi huu ila kuna watu wameoa/kuolewa wasijue kwa nini walifikia maamuzi hayo? (kuoa/kuolewa) kama umeoa/kuolewa naomba sababu ya:-

i) Kwanini umeoa? Kwanini unafikiri kuoa?

ii) Kwanini umeolewa? Kwanini unafikiri kuolewa?

Tafadhali fikiri kabla ya kujibu then unisaidie kwa namna ya kunijena na siyo kunibomoa ili vijana wengine wafaidike pia.
Tunaomba tujue kwanza,ww kiimani umesimamia wap
 
Nilioa kwanza ili nipate mapenzi kwa urahisi na muda wowote nikiwa na hamu, pia nilioa ili nipate msaidizi ndani ya nyumba yangu, na mwisho nilioa ili nipate watoto.

kwani ukiwa nje ya ndoa huwezi paa vyoe hivyo?
 
hayo ni mambo ya asili ndo maana MUNGU alipomuumba ADAM akaona ADAM atakuwa ajakamilika bila kupata msaidizi hivyo MUNGU alimuumba HAWA ili asaidiane majukumu na ADAM...hivyo mtu anaoa au kuolewa ili tu apate mwenza wa kusaidiana nae katika maisha.
sasa mbona wanawake ni wengi kuliko wanaume? hao wengine hicho kitu cha asili watakipataje?
 
Unajua nini?
Ukishaoa una uhakika wa kupata kimoja Dailee😡😕
 
UMJUE MZAZI MWENZIO PAMOJA NA KOO ZAO ILI WATOTO WENU WAJUANE WAEPUKE KUZANA WAO KWA WAO.

leo hii utasikia baba katembea na bint yake hahici kujuana sio sababu. samahani lakini
 
Binafs naweza sema kuoa au kuolewa ni automatic feelings /natural,baina y mme/ke,
Mahusiano yanapokua matamu zaid wawil nyie mnatamani mfike mbli zaid,kama mlikua mnabanwa home muanzw kua huru,mpange maish yenu etc .Hyo ndio sbb watu wanaamua kuoa /kuolewa
kwann hizo feelings /natural,baina y mme/ke, huja pia kwa wake na waume za watu?
 
"ningependa watu wote wawe kama mimi (paulo) single. lakini kutoka na matamanio ya miili yenu basi na kila mtu aoe mke"...huo ni waraka wa paulo. so if this is true.
TUNAOA KWA SABABU MIILI YETU INA TAMAA SO TUNATAKA KILE KITU TUKIPATE ANYTIME TUTAKAPOJISIKIA....NDO MAANA INAITWA "NDOA" NA LILE LINAITWA "TENDO LA NDOA"......AND THAT'S RSHIP IS EATING AND SEXING NOTHING MORE......HAYO MENGINE NI MBWEMBWE TU.
 
Back
Top Bottom