Natafuta mke

Natafuta mke

Masasaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2015
Posts
586
Reaction score
631
Mimi ni mwaname mwenye umri wa miaka 45, divorced, mtoto mmoja, mkristo, natafuta mwanamke mwebye umri kuanzia miaka 27 mpaka 40, mwenye sifa zifuatazo:
Mkristo, ila asiwe mlokole
Elimu kuanzia form 4
Awe na kazi au taaluma yeyote
Asiwe na mtoto
Awe tayari kuishi sehemu yeyote tanzania
Aliye tayari kupima hiv

Aliye na sifa na uhitaji an pm
 
Toa maelezo ya kutosha broo....hasa hapo divorced....hiyo itawajengea imani wake watarajiwa wasije kutumbuliwa kama aliyetangulia kabla yao.
 
Toa maelezo ya kutosha broo....hasa hapo divorced....hiyo itawajengea imani wake watarajiwa wasije kutumbuliwa kama aliyetangulia kabla yao.
Ha ha kweli mkuu hapo kwenye divorce . Huyu jamaa anaweza akawa bonge la katili
 
Sasa mbona una ubaguzi ww unae mtto hutaki mwenzio awe na mtto fikilia iko kipengele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom