asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 248
- 147
Hivi hii jinsia ya kike imewekewa nini? Namaanisha ni pilipili au upupu au nini? Inawezekana vipi mwanamke anatembea na mume wa mtu halafu ana kaboyfriend ambacho anajua kabisa kana demu wake na bado hakaoni haya kuvua chupi.
Hakaombi pesa lakini sio kachoyo
Hakaombi pesa lakini sio kachoyo