Umeonaee nihatariii kata mawasilisno nae kabisa baki njia kuuKweli kabisa Aiseee!!..
Kweli Mkuu huwa naamini*Friendship ends to love,but love to friendship NEVER!!.Umeonaee nihatariii kata mawasilisno nae kabisa baki njia kuu
HahahahaaaaTheory zinasema ukiona mawasiliano yana endelea ujue relationship bdo IPO. So bdo MNA pendana.
X ni sawa na mchepuko ipo siku utaula tu kama mkiendelea kuwasilianaIPO siku njaa itakukamata uataula tu.
Hii mistar nimeikubali njoo studio kwangu urekodi buree hata kama itakuwa remix sawa tuAhsante Profesa J, Majani na Ulamaa mmegusa nnapopataka...
Nami kwenye mtazamo nna jambo nataka kuweka...
Maana kila kukicha EMCEEs wanaongezeka...
Nasema very nice...
Yes, Rap kama dhehebu...
EMCEEs kama wafuasi...
Wingi wa wasanii inaonesha ni Dini safi...
Yaani imekubalika...
Waumini tuko wengi...
Lakini bado nna shaka...
Sijapata uhakika...
Wote tumesadiki?...
Au wengine ni feki mmetumwa kama mamluki...
Maana yake hamna maana...
MnaRap mnavyoRap, mistari imekosa vina...
Yenye vina haina maana...
Na kila mnapokaa mnapenda kusengenyana...
Mnapenda kutetana...
Na mnapenda kulumbana...
Mimi naogopa sana...
Kwa jinsi ninavyoelewa mwishoni mtatukanana...
Ama itawezekana mnaweza mkachinjana...
Na wote tunaoRap tuonekane hatuna maana...
Wapi ilipo taarabu?...
Ilikuja kwa kishindo...
Na Wagumu walishahusudu...
Kwa ajili ya malumbano mwishoni ikafa kibudu..
Shabiki piga simuAhsante Profesa J, Majani na Ulamaa mmegusa nnapopataka...

Wako mnawasilianaSi kweli
He mnawasilianaX wangu ni adui kwangu