Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,311
- 7,658
Habari za weekend wakuu,
Nimekuwa katika mahusiano na wadada wengi sana, tatizo linakuja huwa sidumu na msichana kwenye mapenzi. Ninaweza kumtamani nikamtokea akinikubalia, nikishafanya nae mapenzi ndo baasi tena namchukia na namuona wa kawaida mno na hapo ndo kumuacha kunapofuatia.
Yaani ninaweza 'date' na wasichana wawili na nikawaacha baada ya mwezi mmoja. Mwanzoni mwa mapenzi ninakua na hisia na huyo mtu lakini akishanivulia nguo ya ndani tu sina hamu nae.
Huwa nasema, kwa hivi nilivyo sidhani kama nitakuja kuoa. Najiuliza nitakua na tatizo au ni kawaida?!