Smartphone zinaharibu mahusiano

Smartphone zinaharibu mahusiano

BongeMwepesi

Senior Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
125
Reaction score
83
Habarini za Jumapili,

Jana nikiwa nimetoka na wife jioni kwenda kupata dinner na Live Band nilikaa jirani na couple nyingine ambao kwa kuwaona tu nikawajua ni mke na mume. Tumekaa pale kama masaa manne yani wote kila mtu yupo bize na simu yaani wanazungumza muda wa kuagiza na kusifia mziki basi, nikaamini hizi smartphones bila kuzicontroll zinaharibu mahusiano kabisa.

Mimi na mke wangu tukifika eneo kama hilo basi kila mtu huwa anaondoa kabisa internet kwenye simu yake hili tupate muda wa kuzungumza na kuenjoy pamoja pasipo kuwa bize na simu zetu.

Ndugu punguzeni matumizi ya simu mnapokuwa na wapenzi wenu hasa kina dada.
 
Sasa SI wangebaki nyumban Tu wachati vizur kuliko kutoka out halafu mtu Yuko bize na simu

yaani nauzikaga naweza niondoke nikuache na simu yako SI ndio yamuhinu
 
Last Sunday nilienda na demu wangu South beach kigamboni...
Njia nzima yuko bize na cm yake anachati mara anaongea cjui na lijamaa gani kubabake...!!!

Tumefika geti nalipa kiingilio nikafoka mbele ya Walinzi pale:
"Ukimaliza kuchezea li simu lako ndipo uingie humu... Mie natangulia"

Mbona ali switch off kwenye mkoba "tubwii"

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Aaaaah...Mambo ya chikunde hayo..teteteteeeeh.
 
Last Sunday nilienda na demu wangu South beach kigamboni...
Njia nzima yuko bize na cm yake anachati mara anaongea cjui na lijamaa gani kubabake...!!!

Tumefika geti nalipa kiingilio nikafoka mbele ya Walinzi pale:
"Ukimaliza kuchezea li simu lako ndipo uingie humu... Mie natangulia"

Mbona ali switch off kwenye mkoba "tubwii"

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Inaboa sana hiyo kitu aisee
 
Naona wewe na mkeo mmeshibana sana hadi muda wote wa masaa manne mnawakodolea tu wenzenu na kujua hadi muda gani wanaongea!
Haha bora waliokua wa nachat kuliko hao wanaofatilia mambo ya watu kwa masaa manne
 
Last Sunday nilienda na demu wangu South beach kigamboni...
Njia nzima yuko bize na cm yake anachati mara anaongea cjui na lijamaa gani kubabake...!!!

Tumefika geti nalipa kiingilio nikafoka mbele ya Walinzi pale:
"Ukimaliza kuchezea li simu lako ndipo uingie humu... Mie natangulia"

Mbona ali switch off kwenye mkoba "tubwii"

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng

Safi engineer.
 
Kuna muda ambao sio lazima utumie simu, kila kitu kiwe na kiasi.
 
Mungu awazidishie mna mda kweli wakuchezea umekwenda kula raha zenu ilikhusu nini msojishughulisha na yenu mnaangalia walao chat bora mmnge kaa nyumbani mkanunua kukuwenu wa kienyeji mkanywa supu mkatafuna mifupa..
 
Last Sunday nilienda na demu wangu South beach kigamboni...
Njia nzima yuko bize na cm yake anachati mara anaongea cjui na lijamaa gani kubabake...!!!

Tumefika geti nalipa kiingilio nikafoka mbele ya Walinzi pale:
"Ukimaliza kuchezea li simu lako ndipo uingie humu... Mie natangulia"

Mbona ali switch off kwenye mkoba "tubwii"

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
WAKATI FULANI BILA UKALI HATA NDANI YA NYUMBA MAMBO HAYATAENDA...
 
Sababu za kutumia smartphone mara kwa mara:
-Kuwa peke yako bila kazi yoyote
-Stress
-Mitandao ya kijamii
-Ulimbukeni
-U-addicted wa kutumia simu
-Recreation
Mtu kama anayetumia simu mara kwa mara ukiona hatumii simu muda huo ujue:
-Anaichaji
-Ana kazi
SULUHISHO
Jitafutie kazi yoyote ya kufanya,kadri unavyofanya kazi ndivyo akili yako inavyoisahau simu.
 
Habarini za Jumapili,

Jana nikiwa nimetoka na wife jioni kwenda kupata dinner na Live Band nilikaa jirani na couple nyingine ambao kwa kuwaona tu nikawajua ni mke na mume. Tumekaa pale kama masaa manne yani wote kila mtu yupo bize na simu yaani wanazungumza muda wa kuagiza na kusifia mziki basi, nikaamini hizi smartphones bila kuzicontroll zinaharibu mahusiano kabisa.

Mimi na mke wangu tukifika eneo kama hilo basi kila mtu huwa anaondoa kabisa internet kwenye simu yake hili tupate muda wa kuzungumza na kuenjoy pamoja pasipo kuwa bize na simu zetu.

Ndugu punguzeni matumizi ya simu mnapokuwa na wapenzi wenu hasa kina dada.

walikuwa na power bank kweli kwa muda wote huo!!?
 
Mie ukiwa busy na simu sikuulizi,all the best..I usually like kuenjoy matukio nikiwa mahali kuliko kuchat tu,
 
Last Sunday nilienda na demu wangu South beach kigamboni...
Njia nzima yuko bize na cm yake anachati mara anaongea cjui na lijamaa gani kubabake...!!!

Tumefika geti nalipa kiingilio nikafoka mbele ya Walinzi pale:
"Ukimaliza kuchezea li simu lako ndipo uingie humu... Mie natangulia"

Mbona ali switch off kwenye mkoba "tubwii"

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu we sio MTU wa sport sport
 
Back
Top Bottom