Habari za J2 wapendwa,
Nimelifakari sana hili, moja katika hatari binadamu tunazochukuwa ni ile ya kwenda kwa boy/girl friend au kwa mchepuko ambao ni siri yako na kulala huko. Umeshawahi...
NIMEYAPENDA SANA HAYA MANENO
Mwanamke ni kama Jua unaweza
usione umuhimu wake, yaani kila
siku unaenda mjini jua lipo tu,
unaliangalia lakini huangalii umuhimu
wake kwako.
Wakati mwingine...
Mimi nina marafiki wa2, halafu hao marafiki wote tunakuwa pamoja, nikikaa na mmoja ananiambia namchukia yule, sijui hivi na hivi na pia nikikaa na huyo pia ananiambia anamchukia, wanachukiana ila...
Habari zenu kwenu nyote,
Je, kwa upande wako ni kitu kipi haswa kinakugusa au kinakuvutia kutoka kwa me/ke pale umuonapo au ukiwa karibu naye (kama mpenzi), mimi binafsi navutiwa na smile zuri...
After a long day of working!!
I warmly welcome you listening this
beautiful song I dedicate this to you!!
I want you always
Ooh Ooh Ooh
I want you always,
I want you always
People tell me...
naona kwanza jukwaa limechangamka baada ya kuliacha kwa taklibani two years TOPIC..kuna mjadala mkali tunabishana na watu hapa eti kati ya mwanamke wa kiafrika ,wakiasia(wahindi,wakorea n.k) na...
Kwa utafit mdogo ambao nmefanya asilimia 80 ya wanawake wanaenjoy zaidi romance kuliko kitendo chenyewe cha kuingiliwa. Wanawake wengi hupenda sana romance na hu enjoy sana kuliko kuingiliwa. Kama...
Habari,
Kwa mlioko kwenye ndoa tuambieni sisi ambao bado hatujaingia kwenye ndoa kati ya mwanaume na mwanamke ni nani mbinafsi, yaani kama ni kuwasaidia ndugu anataka ndugu zake tuu ndo...
Naona ingepitishwa sheria ya kufunga makofuli kwenye sehemu za kiume za wanaume nafunguo kuhifadhiwa na wake zao. hii ingesaidia kupunguza michepuko na kuzaa zaa ovyo nje ya ndoa..!
Heshima kwenu wanabodi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Mwaka Jana kipindi cha uchaguzi niliwashawishi watu wengi pamoja na familia ya rafiki yangu wampigie kura rais Magufuli...
Wadau,
Kuna msichana mmoja nilikuwa natoka nae mda kidogo kama kama miezi sita hivi, alinipenda lakini mimi sikuwa na mapenzi nae kivile kwa kuwa yuko ambae alikuwa na asilimia nyingi, kidogo...
Mwanaume anaekupenda inabidi ajitume kukidhi
mahitaji yako. Hela ya vocha upewe, uongee
umbea na mashosti. Hela ya saluni upewe,
ukachore nyusi na marker pen. Hela ya chakula
upewe, unenepe nguo...
Hivi, unaanzaje kumuita mke wako "mama"? Au mumeo " baba/daddy"? HOPELESS KABISA
unamuita MAMA, inamaana unaweza kumlala mama yako? Ama unamuita mumeo BABA/DADDY ina maana unaweza kumvulia chupi...
Habari za weekend wanakijiji, niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimejiuliza nimekosa majibu kadili siku zinavyozidi kwenda watu wengi wanakata tamaa kwenye mahusiano mwisho wa siku wanaona bora...
Tazama inavyopendeza ndugu kuishi pamoja kwa upendo.....
Huku tukisaidiana ktk shida mbalimbali za maisha....
Hilo ndio pendo kamilifu,pendo alilotuachia Yesu....
Muwe na Jumapili...
Sifa za mabwana wa Kisukuma.
Ma giant, wamepanda na wameshiba, fully protected ukiwa naye mmoja.
Wanajali, kwao hamna uchoyo, ubahili wala kujiuliza mara mbili kwa mpenzi wake.
Hawahusu majungu...
Naombeni mchango wenu maana sielewagi zaidi naonaga tu watu wanalaumu tu "ohoo mwanamke mkubwa kuliko mwanaume atamuoaje?"
Kuna tatizo? Na kama lipo ni lipi?