Wajameni mimi huyu mtoto jinsi siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kumuwaza na ku-imagine vitu mbali mbali sijui nitampataje.
Pls!! usije dnt bring polits and hate posts in this thread lets enjoy...
Hii kitu nimejiuliza kwa muda mrefu bila kupata majibu!
Ni andiko gani lililosema kuwa wanandoa ni lazima ndoa gani zikabarikiwe na viongozi wa kiroho?
Ukisoma Maandiko katika
Mathayo 18:20 neno...
Ni binti nliempenda nae akanipenda toka tukia kidato cha 6 yeye akiwa cha 5, 2014. Nlimweka wazi kua ngependa awe wife wangu baadae lakini nlimsihi sitaweza vunja amri ya 6 mpaka nimuoe japo yeye...
Ni maisha niliyochagua, nataka niishi hivyoo.
Baada ya msichana wangu kugoma kuzaa bila kuoana, sasa nimeamua kuachana na suala linaloitwa ndoa. Ni Mkataba wa miaka 3.
Nataka mwanamke wa kuzaa...
Wasaalam waungwana!
Kama kichwa kinavyo jieleza,hiko hvi kwanza mm nikijana msomi,very handsome then Nina baati ya kuwa na mahusiano na wasichana wazuri.
In fact tatizo langu ni kwamba kila...
Habari wana JF,
Leo katika pita pita zangu nikaamua kupumzika mahala fulani. Pembezoni kidogo kulikuwa na binti mrembo ametulia. Mara akaja mama mmoja ambae hawajaonana mda mrefu, yule mama...
Wakuu, naomba tuelimishane suala hili,
Hivi ni haki kwa mke kuingia na kuleta vurugu ndani ya ofisi ambamo mme wake anafanyia kazi?
Sasa, leo nimeshangaa sana. Kuna ofisi moja nimetembelea...
Habari za wakati wanaMMU,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, siyo maneno yangu ila nimekutana na mijadala kadha wa kadha kuhusiana na hili jambo nikaona si vibaya tukalijadili hili na hatimaye...
Nina mchumba ambae kiukweli moyo wangu umezia kumuoa, sasa kuna wakati alikuwa akitoka chuo anaelekea nyumbani huko Kanda ya ziwa, alifika mwanza usiku wa nikamshauri aende kwa rafiki yangu hapo...
Nimefikishwa mbele ya mahakama za gachacha na mwanamama mmoja akinituhumu kumpiga na hivyo mimba yake kutoka. Ilikuwa hivi,
Mlalamikaji: bwana betlehem kanipiga na kusababisha mimba yangu...
Rais Mteule Trump amteua Gen James Mattis kuwa Waziri wa Ulinzi
kuna msemo usemao wanaume wengi wenye akili nyingi na wanaofanyaga makubwa huwa wanakwepa sana kuoa.. je hii ina ukweli??
nimesoma...
Habarini wanajamvi,
Mwenzenu nilishauriwa kufunga camera home kwa ajili ya ulinzi kwa watoto, badala yake nilichokiona ndio kimenileta hapa. Kwa mda mrefu sasa karibia miaka 3 nipo na housegirl...
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-28 awe na shughuli inayomwingizia kipato aliye tayari tuwasiliane pm
Nimefunga camera nyumbani, najuta ninachokiona
Habari,nilitoa uzi huu ,asanteni sana kwa ushauri wenu,kweli tulipata wakati mgumu sana pa kuanzia kwasababu wangejisikia vibaya sana kuwaona...
Habari JF,
Jamani si uchoyo wala roho mbaya, ila kwa wale wanaokaa na ndugu mnaweza nielewa.
Leo mdogo wa mke wangu kanikera sana.. Ana kama siku tatu hivi tangu atoke kijijini.
Nimenunua mkate...
Habari za muda huu wapendwa.....
Niende moja kwa moja kwenye mjadala.....
Kila mmoja anafahamu anavyoitumia simu yake ya mkononi....iwe kwa mabaya au kwa mazuri anajua mwenyewe....lakini pindi...