mangosongoo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 256
- 464
Sifa za mwanaume rijali ni zipi...?
1.awe na uwezo wa kusimamisha
Simple and Clear1.awe na uwezo wa kusimamisha
1.awe na uwezo wa kusimamisha
Nilitaka nikuwekee picha yangu hapa uone mfano halisi wa mwanaume rijali lakini nikakumbuka kwamba naweza kulimwa ban. Anyway, physically siyo kazi ngumu kumtambua mwanaume rijali. Wewe kosea umwonyeshe paja au chuchu utaziona dalili za urijali wake.Sifa za mwanaume rijali ni zipi...?
Amekuelewa mleta thread...hata wase.nge wanasimamisha...lakini si marijali....kusimamisha jiti ni kitu kimoja lakini kuwa na jiti endelevu lenye kumkojolesha mlupo pasi na kulala ni kitu kingine...
Muulize mwenzio Fernandinho alichofanyiwa na Fabregas jana shauri yako..wewe usiemjua mwanaume rijali ndie mse.nge...maana rijali anajitambua....
.
Muulize mwenzio Fernandinho alichofanyiwa na Fabregas jana shauri yako
We pia nakushokea tabu nini?...ona unavyoshobokea wanaume....unadhihirisha nilichosema hapo juu...
Kumbe na wewe ni mtaalamu hiviNa kufanya vitu vitu fulani hivi
Nilitaka nikuwekee picha yangu hapa uone mfano halisi wa mwanaume rijali lakini nikakumbuka kwamba naweza kulimwa ban. Anyway, physically siyo kazi ngumu kumtambua mwanaume rijali. Wewe kosea umwonyeshe paja au chuchu utaziona dalili za urijali wake.
Urijali wa tabia hapo ndipo ngoma nzito kwa sababu hakuna kiumbe anayejua kujificha katika unafiki na undumilakuwili kama binadamu. Umdhaniaye ndiye kumbe siye (and vice versa) [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mwanaume rijali ni zipi...?
Fafanua mkuu. Hiyo ni picha ya nani? Physically hata huyu anaweza kuwa rijali wajua. Ndiyo maana nikasema urijali wa matendo na tabia ndo kimbembe!