professional masseur naombeni kazi

professional masseur naombeni kazi

Kasugugu

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
214
Reaction score
100
habarini za kazi wakuu?

mimi ni kijana umri wangu miaka 26, nilikua nafanya kazi katika moja ya mahoteli makubwa hapa mjini na kwa sasa kiukweli hali ya uchumu imeyumba kiasi kwamba biashara haiendi vizuri hivyo nalazimika kutafuta kazi ya ziada ili niweze kukidhi mahitaji yangu ya kila siku. kazi ninayofanya ni massage strictly kwa wanawake tu, massage ya kichwa, massage ya miguu lakini pia full body massage mteja atachagua yeye pahali pa kuhudumiwa (kupatiwa huduma) na faida ni nyingi kwani massage humfanya mtu awe na ngozi nzuri, yenye afya na humfanya mtu kuwa na afya nzuri ya akili (akipata relaxation), inamrudishia mtu uhai wa hisia lakini pia humpa mtu uchangamfu na wepesi. gharama zangu ni nafuu sana hii ni sababu hii ni kazi ya nje kwa massage ya miguu na kichwa ni tshs 5000 tu na na full body massage ni tshs 10000 tu. massage ya kichwa na miguu ni nusu saa hadi dk 45 ila full body massage ni saa1 hadi saa 1 na nusu. kama unahitaji huduma hii njoo PM.

Thank me later
 
NB; Mimi ni dume la mbegu na si mdada kama mnavyodhani, nilisahau kulisema hilo. asanteni
 
Walikataa mabadiriko saivi wanajutraaaaa
 
asanteni mlioniamini na kuja PM, nyie mtakuwa mabalozi wangu. thank me later
 
Back
Top Bottom