Ni mapenzi au ushirikina?

Ni mapenzi au ushirikina?

Wewe mpe kisha utuletee mrejesho, haahhaaaaa!!!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] labda yote Sawa.
 
Hivi swala mpenzi wako kukuomba aondoke na nguo yako ya ndani .ni uzungu?.mapenzi au ushirikina? .Mimi niimemwambia ashidwe na alegee
Kaz kweli kweli. Unahisi unarogwa na mtu ambae unalala nae. Kama angeamua kukuroga si angejipaka dawa sehem za siri.... ukaja ku***a. Penzi unataka.. chupi yako hutak kutoa..😎 wkt unamruhusu akuvue..."sijajua kama wewe ni ME au KE
 
Mimi ni me aisee
 
Pengine unayo moja tu na u mvivu wa kufua!!
 
Mama la mama hua anachukua boxer anazoona zinamfaa anavaa, alichukua mbili na kuondoka nazo, zimeshakua zake.

Ila tukiwa kwenye ugomvi nikijifanya nataka kuchepuka hua sikubaliwi, yaani mpaka ananikuta na kichupa kimejaa vilevile, mleta uzi umenifungua macho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom