Habari wakuu kuna tabia ya vidume kutamani au kupenda wanawake wenye makalio makubwa kama picha hapo juu
Hii tabia au kasumba imepelekea sasa akina mama wenye maumbo hayo kujiona wa ghali au wako...
Usipomuheshimu Mkeo Mungu hawezi kukusikiza uombapo, vivyo hivyo usipomuheshimu Mumeo Mungu hawezi kukisikiza uombapo
Ndoa ni tendo la heshima na lenye baraka za Mungu, vivyo hivyo wanandoa nao...
Habari wanajamvi nadhani hamujambo na familia zenu.
Ama wenzangu niko na mke toka mwaka 2007 hakuna asiejua kua mahusiano nayo huchakaa kama nguo hasa mukishapata watoto.
Baada ya kuzaaa watoto...
Wadau wa MMU,
Kuna mdada fulani hivi nimeanza ku date naye yeye anakaribia 30's na mimi nipo 27 hivi... Sasa Tuko vizuri wote na game ni tamu Kweli Kweli nashawishika kutangaza nia huko mbeleni...
Hawa binadamu wanaenda chooni kama sisi, wanahitaji kula kama sisi, wanaumwa na kwenda Hospitali kama sisi: Kwanini mwanaume uhonge nyumba, gari au kulipia tendo la ngono (ambayo ndio tofauti...
Wakuu habarini za usiku,nilikua naomba msaada kidogo,ni sehemu gani kwa hapa dar ni nzuri "for having a date with a woman",neither cheap nor expensive,just middle class and romanting kwa hapa dar ?
Jana usiku nilirudi home mapema. kilichonifanya nirudi home nilipewa kilo 2 na nusu za nyama iitwayo MATIKO. sasa kwa bashasha nikampa huyu nimpendaye aiandae ile nyama maana ni laini kama ini...
Katika kitu ambacho niliki note siku ya maazimisho ya miaka 55 ya uhuru ni speed ,power ,performance, accuracy na ukomavu mwili wa yule komando mtu mzima kidogo mwenye kitambi !!
Ama kweli...
Habari wanajamvi,
Nilianza kutumia mitandao ya kijamii kama Facebook toka mwaka 2010 mpaka sasa bado naitumia sana. Lakini kinachoninyima Uhuru in Baada ya Mama yangu kujiunga na mitandao hii kama...
Kumekuwa na desturi ya wanawake na wasichana wengi hasa wa kiafrica siku za hivi karibuni kuwa na tabia ya kusingizia kuumizwa kabla kuwa kama chachu ya kuwapelekea na wao kuwa na moyo mgumu wa...
Tusipoangalia vizuri tunapoteza nguvu kazi kwa kasi ya hawa vijana kuiga mwishowe wanageuka mashoga kwa kuiga utamaduni wa kimarekani.
Hivi kijana mzima hajishughulishi akiamka asubuhi chai kwa...
Kitaalamu, tatizo hili ujulikana kama GYNECOMASTIA nalo ni kukua kuliko kawaida kwa tishu kwenye titi tishu iyo inajulikana kama GLANDULAR TISSUE.
#Pure glandular gynecomastia-huonekana zaidi...
Wakuu habari za sikukuu na long weekend!
kwa kifupi nlishaleta malalamiko mengi kuhusu huyu mwanaume wangu,
tukiwa na maelewano wiki moja ni nyingi sana yan after 2days kupotezeana kugombana for...
Habari ya mchana wadau.
Ni mara nyingine tena naingia kwenye njia panda sababu ya dada yule dada alienikataa siku si nyingi. Niliomba ushauri hapa hapa jf na niliuzingatia kwa kweli, ila...
Hello LoveConnect Members!
Jaman mimi kijana nina miaka 27 ninajishugulisha na biashara natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 18-26.
Awe na mapenz ya kweli
PM kama uko interested
Habarini ndugu zangu.
Poleni na hongereni kwa mapambano ya kuzisaka Seenti.
Kuna binti mmoja wa chuo kutokea pwani ni mpenzi au mchumba wa jamaa yangu ya karibu.
Kitu kinachoshangaza ni kuwa...
Watajitahidi kwenye misosi ,usafiri nauli watalipa sasa chumba cha hoteli ni ngumu Sana . Ikibidi sana atakupatia fedha uende reception bila yeye kujihusisha.