Gerald Robert
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 337
- 219
Usipomuheshimu Mkeo Mungu hawezi kukusikiza uombapo, vivyo hivyo usipomuheshimu Mumeo Mungu hawezi kukisikiza uombapo
Ndoa ni tendo la heshima na lenye baraka za Mungu, vivyo hivyo wanandoa nao wanapaswa kuheshimiana ili wapate kiziteka baraka za ndoa ambazo Mungu aliziachilia kwa wanandoa wote
Kulala na Mke asiye mke wako, na kulala na Mume asiye Mume wako, hilo ni tendo la kuikosea heshima ndoa, pia ni kumdharau Mungu ambaye nduye muanzilishi wa ndoa.
Heshima ya ndoa haiishii kwenye ndoa yako tu, bali kila mmoja anapaswa kuheshimu ndoa za watu wengine.
Ndoa zenye migogoro huwafanya wanandoa kutokuwa wenye afya njema kimwili na hata kiroho kwakuwa muda mwingi hutumia kutatua migogoro ya ndoa yao au kulipizana visasi.....
1PETRO 3:7 (imeandikwa) Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu, na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi KUOMBA KWENU KUSIZUILIWE.
1PETRO 3:1 (imeandikwa) Kadharika ninyi wake, watiini waume zenu...
Smile heals
N yumbani
D aima
O mbeni
A mani
By Mtumishi Gerald Robert