Habari wana JF.
Wapendwa mwaka jana nilitoa uzi wa kutafuta mchumba, na nashukuru Mungu walijitokeza wengi wenye na wasio na vigezo, wengine waume za watu(wonders never seize)
Nilifanikiwa...
Habari zenu wan JF,
Nimeolewa na nina watoto wawili tatizo langu kubwa ni kwamba kabla sijaolewa nilikuwa na mahusiano na kijana mmoja,sikupenda tabia zake nikaamua kusitisha mahusiano,ikapita...
Habari za mwisho wa wiki mabibi na mabwana wa MMU,
Leo nawasimulia kisa kilichonitokea kuanzia wiki iliyopita………….
Jumanne iliyopita ya tarehe 2/02.2016 saa nne asubuhi, Kasie nilipokea barua...
i want to marry you bebe marry you bebe. forever i luv u bebe together with you. ohhh lemme hold you touch you i luv luv you. kiss you hug you. i want to give ma life to you. give yo life to me
Wewe ni baba mwenye watoto watatu, siku moja ukiwa unaenda kazini njiani ukapata ajali, watu wema wakakupeleka hospital.
Unapata fahamu unajikuta upo hospital ukiwa juu ya kitanda wakati...
Hbr ndg zang
Samahan naomba kuuliza et ni nan anatakiwa kuwa wa kwanza kumpeleka kumtambulisha mwenza wake kwao bi/bw kabla ya taratibu zingine kufuata
Habari zenu wanaJF,
Naombeni ushauri wenu. Nimekua katika mahusiano na huyu msichana kwa miezi 8 sasa. Ni msichana ambae anajiheshimu na hana makuu. Katika kipindi chote hiki ameweza kutenga muda...
Hakika naona ndugu zangu mmejisahau sana. Wakati majukwaa mengine wakiendelea kupiga kelele kuombwa jeshi la police wamwachie mkurugenzi mtendaji wa Jf, hapa watu wanaendelea kukomaa na ishu...
Niliingia katika mahusiano na wewe mwanamke kipindi kile na graduate, nikakupenda kwa moyo wangu wote, pamoja na kuishi katika mikoa tofauti nikawa mwaminifu kwako sikuwahi kuchepuka hata kidogo...
Kuna binti mmoja ambaye mimi na yeye tumetokea kupendana, na kwa kweli ni wife material na tunaelewana sana.
Tumekuwa na mikakati na mipango mingi na tulishapanga kuoana, ila kuna tatizo moja...
Habari ya asubuhi wadau, kama thread inavyosema am a man of age btn 30 and 34 nahitaji rafiki
au marafiki wa kike kw ajili ya kudiscuss mamambo ya maisha kwa ujumla na mitoko ya out na kupeana...
It looks like the dating scene is more filled with girls; than real women. If you have been wondering about the reasons behind past relationship failures, the answer may lie in the fact that you...
Sijui hata imekuwaje nikakumbuka kisa hiki. Ila looking back there was always an extra Guardian Angel watching out for me. Karucee. Sometimes I amaze myself.
Basi, siku moja nikiwa chuo nilikaa...
Naona mada za kutafuta wake zimekuwa nyingi lkn naomba nami nitoe ombi lang.
Nahitaji mdada muadventista msabato baadaye aje kufanyika mke nami niwe Mme wake.
Mimi ni kijana miaka 30, mfupi...
Ambaye kakusumbua mda mrefu wakati unamtongoza. Jua hakuna mapenzi hapo Bali kuna kitu kafuata au alikua ana mtu au anakulinganisha na watongozaJi wengine, kama kakuzungusha sana siku akijubali...