Ndugu wana JF, Natafuta mke mwenye moyo wa kumpenda Yesu si kwa kuigiza, ili aje anilelee watoto vizuri .maana ktk malezi, mama ndo kilakitu kwakweli.
Dondoo:
Nina miaka 30, ni mtumishi wa umma...
Habari zenu wakina mama au wakina dada
Please naomba mnieleweshe hiki kitu, kuna umuhimu gani wa mwanamke mjamzito kuwa na mumewe karibu??
Nimeuliza hivyo kwa sababu nina ndugu yangu mjamzito...
Habari zenu wapendwa! Kama kichwa cha habari kilivyo je umeshawahi kuwa na rafiki, namaanisha urafiki wa kawaida tu yaani kwa mwanamke ni mwanamke mwenzio(shosti) na kwa mwanaume ni mwanaume...
Mshkaji kutoka Nigeria aliamua mwanamke ambaye ni rafiki Yake kama best man wake
Picha ya pili akiwa na mke wake
NINI mtizamo wako kwenye hili suala ni ishu AMBAYO Imekaa vizuri kweli au ni...
Wiki hii siku ya jumatatu mimi na huyu mwandani wangu tulipanga safari ya kwenda kujitambulisha maana kwa miaka 4 tumekuwa kwenye mahusiano.
Sasa baada ya kukata tiketi siku ya safari iliwadia...
Habari wana jamii forums, naombeni wenye kujua beach nzuri na ya bei nafuu kwaajili ya watoto anijuze kwani nataka sikuku hii niwapeleke watoto wakaenjoy kidogo, maeneo ya banana nasikia kuna...
Habari wanajamii wa JF,
Nimeona nilifikishe hili ili kusaidia kuepuka balaa lililopo sasa. Mara nyingi watu wanaotaka kuingia kwenye ndoa kuna utaratibu mzuri tu watu hivi sasa wamejiwekea...
Never put temporary people in the permanent place of your life, and don't be afraid of removing the wrong people from the right place of your life. If it's your life then it's your right. Be bold...
Nakumbuka kuna kipindi nilikuwaga najiita BREEZY
SWAGER BOY kwenye profile yangu sikuweka picha
zangu niliweka picha za rafiki yangu wa huku
mtaani yeye Handsome ana mvuto ana swaga
balaa nikaona...
Ndugu wanajamvi
Tujipe pole na mambo magumu yanayoendelea kutupata ikiwemo Mkurugenzi wetu Melo kuswekwa lumande, lema kuendelea kusota, mara zika, Ben saa8 kapotea
Nina imani tutapita ktk vipindi...
When did it start?
Genesis2:18-24
18 And the Lord God said,It is not good that the man should be alone; I will make a helpmeet for him....
24 Therefore shall a man leave his father and his mother...
Nina mpenzi wangu msichana mzuri tu ambae anafanya kazi shule moja ya secondary ila mm sina kazi npo tu mtaani Nina komaa na kibishi.
sasa kinachofanyika yule demu wangu ambae ni mpenzi wangu...
Habari wanajukwaa mimi ni kijana nimezaliwa miaka 21 iliyopita lakini katika umri wangu wa kujua kuchunguliana sijawahi kupenda, nimeshapitia kwenye mahusiano zaidi ya wasichana watano lakini huwa...
Habari wana jamvi
Naona imefika wakati wa kutafuta mwenzi wa maisha ila Kigezo kikubwa ni awe Mwalimu hasa Sayansi na Hisabati..
Kipaumbele cha serikali sasa ni Sayansi na Hisabati.. Sitaki...
Leo baada ya mizunguko msingi ya hapa na pale si nikaamua kumpigia simu shemela wenu wa zamani tukakutana sehemu nikamuomba game akasema Hataki kunipa gemu g house kama nataka gemu niende kwake...
Nilimpendaga sana mdada mmoja kule Facebook
kipindi hicho nipo Mbeya Nikawa nalike sana picha
zake nikawa namsifia sana hata akiandika status za
kijinga nikawa nalike na kucomment ili kujenga
naye...