Kwanini ni muhimu kwa mama mjamzito kuwa karibu na mumewe?

jerry joshy

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
402
504
Habari zenu wakina mama au wakina dada

Please naomba mnieleweshe hiki kitu, kuna umuhimu gani wa mwanamke mjamzito kuwa na mumewe karibu??

Nimeuliza hivyo kwa sababu nina ndugu yangu mjamzito wanakaa mikoa tofauti na mumewe akawa anasema yaani mimi ni jembe kama nimeweza kukaaa na hili tumbo bila muwe wangu nikamuliza why akasema muulize mtu yoyote ambaye ashawahi kuwa na mimba wakati ukiwa na mimba jinsi inavyokuwa unapokuwa unakaa na mume wako mikoa tofauti.

So please naombeni mnieleweshe kuna kitu gani kinakosekana?
 
Wengine ni wataalamu wa afya tunaweza kukujuza nini kinajiri, ila kwakuwa umetaka waliowahi kuwa na mimba, sisi dr.male ngoja tutazame
 
Wanawake Wenye Mimba huwa na Nyege muda wote kwa kuwa hata zile break za hedhi huwa hazipo
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Wengi wanatakaga kudeka tu. Mi wakati mjamzito nilikua najiuliza wanaoishi na wanaume nyumba moja wanawezaje sababu nlikua naona kero kuwa na mwanaume karibu.
 
Raha yao ni kutuamsha usiku wa manane kutaka aletewe ndizi za kuchoma,, nikikumbuka haya majanga mimba ijayo lazima nimkimbie wife.. Nilipata shida
 
Unataka kisirani ammalizie nani?!

Aliyeweka magoli pale kati inabidi akahangahike na mzigo wake.

Wanakuwaga na wivu huo.
 
Back
Top Bottom